Naomba kama kuna mtaalamu humu jukwaani asaidie tafadhali!
Kuna tatizo limemtokea ndugu yangu toka mwaka 2005 ikiwa ni kauvimbe mfano wa jipu karibu kabisa na
sehemu ya haja kubwa dr akapasua ila hakikupona tena ila mwaka 2008 hospital nyingine wakagundua ni ni perianol fistula wakamfanyia operation pakapona na kukauka ila mwaka jana hali ikabadilika tena uvimbe na maumivu makali wakagundua ni jipu ile hospital waliomfanyia operation 2008 wakafanya tena operation kwa gharama kubwa. Amepata nafuu ila kuna wakati kunakuwa na kauvimbe kanapasuka (after one to two weeks) wakati wa kujisaidia anaona damu nzito then panakauka kauvimbe kanarudi tena baada ya siku kadhaa?
Ndugu yangu ameanza kukata tamaa, jamani mwanye tiba mbadala au mawazo chanya please saidia tafadhali!