simu yangu ni aina ya samsung smartphone inafanana sana na blackberry ,kila ninapotaka kupiga picha inaniandikia"unable to connect to the external camera"tatizo ni nini na nifanyaje ili kuondoa tatizo hili na naogopa sana kwenda kwa mafundi wa mtaani.msaada jamani!!!