jamani msaada kuhusu housgeli wangu

Majirani ni watu muhimu sana ktk maisha. Wazo la kumpeleka kwingine linaweza kuwa zuri au baya kutegemea na matokeo. Na kwa vile si kila jambo unaweza kufanya trial mimi nakushauri ufanye uamuzi wa kumrudisha na kutafuta mwingine. Lessons tumekwishazipata.

naunga mkono hoja yako japo ni ishu sana kupata hg kwa sasa wengi wasanii tena wa hapa hapa town unambiwa ulipe nauli ya kumleta kumbe anatoka hapahapa
 
nenda nae mdogo mdogo ukikomaa atamdhuru mtoto na jirani atakwambia hg anaitwa kwao kunamsiba utakula kwako Lazima
 
Mpe kitu kwanza atakuheshimu
Ahahahaaaah ushauri mwingine bwana!!!!

Back to the topic: Huyo hausigeli hakufai ndugu yangu tafuta sababu yoyote na umrudishe kwao au endelea kulisha familia mbili kama una uwezo huo.
 
Umenikumbusha stori moja ya Nigeria ambayo yule mama Patience Ozokwor alikuwa na biashara ya kupeleka hg kutoka vijijini kwenye majumba ya mjini. Ila alikuwa akiwafunza jinsi ya kuingia vyumbani na kuiba vitambaa na vitu vya thamani. Halafu vile vitu walikuwa wanampatia yeye. Na wasipomkubalia basi akiwatishia kuwarejesha kijijini.

Siku moja alijisahau akavaa kitenge ambacho mmoja wa mabinti aliiba na kumpatia. Alikwenda kutembea kwa yule binti na mama mwenye nyumba alimwona amejivinjari kwenye kitenge chake basi hiyo kasheshe iliyozuka hapo!

Anyway kwa ufupi tahadhari akina mama wengine huwa na malengo zaidi ya kukusaidia wewe kupata hg. Ni kujinufaisha wao wenyewe kama huyo jirani yako.
 
hapo kwenye red nakubaliana nawe 1000%
 
Ahahahaaaah ushauri mwingine bwana!!!!

Back to the topic: Huyo hausigeli hakufai ndugu yangu tafuta sababu yoyote na umrudishe kwao au endelea kulisha familia mbili kama una uwezo huo.

nakubaliana na ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom