Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Achana na Tea Party. At least Marekani wana sheria zinazofanya kazi. Ukikamatwa unabangaiza illegally unapandishwa kizimbani then kwenye pipa, hadi kwenu. Lakini Tz, umesoma kile kisa cha Mwarabu wa Movenpick? Yupo illegally na wafanyikazi wazalendo wamelalamika lakini jamaa kapitisha mshiko polisi wanabaki wanawapigia simu wazalendo wafute malalamiko yao. That is Bongo and that is wrong.
Aaah wapi! Hata Marekani wanahitaji immigration reform. Wewe umeona wapi eti ma illegal wanaandamana kudai haki zao? Haki gani hizo? Au umesahau wakati Bush alipotaka kuwapa amnesty hawa watu? Kwenye miji kibao kulikuwa na waandamanaji wengi wao wakiwa ma illegal....only in America.