Jamani mbona wahamihaji haramu ni wengi Sana Tz??

...acha ubaguzi wako wewe na mawazo yako potofu,yaani hizi chuki kwa wahindi zinasaidia nini?
I used to be 100% tolerant when in it came to people, lakini hawa ni washenzi mno. Bado i still believe waliozaliwa Tanzania ni watanzania na wana haki zote za kitanzania awe wa rangi gani, kwangu naona kama kabila lingine. Lakini wa-hindi au ni washenzi. Hivi unajua mpaka wahindi wenzao wanaotoka Africa kama hawana hela wanawaletea dharau in most cases, sembuse sisi waafrica hao wenzao wanawaita wamasai sisi je. Deport them all ni washenzi in tu, unless watanzania wenzetu wenye asili za kiindi.
 
Ukweli wa mambo Tanzania tumeingizwa kwenye mkenge na kundi la Mafisadi linafikiria litajificha kwenye haya mambo ya EAC. Je tumejifunza nini kwenye nchi za Ulaya, Marekani na kwingineko? Sio kweli kwamba wauza njugu barabarani watasaidia kuinua uchumi wa Watanzania ni Watanzania wenyewe wenye jukumu la kufanya kazi kwa bidii na maarifa zaidi ili kujikwamua katika makucha ya manyang'au.

Ukweli utabaki pale pale wanaokimbilia Tanzania ni wale wanaotaka kutumia hiyo advantage kwa manufaa yao wenyewe na hatuna sheria au nyenzo ya kuweza kuwachuja. Its all well and good at least now Chama Cha Majambazi kimejichimbia kaburi ambalo hawawezi kutoroka.
 
For the first time watanzania watajua nini maana ya politics we subiri athari za muungano zianze kuwagusa.

Leo si wafagiaji kesho, watajikuta mzungu anampa priority mgeni over mzawa. Ndipo hapo watapo elewa Kikwete ameifanya Tanzania?

Tuna papara sana, muungano unafaida kwa protection yetu as a whole lakini umekuja too early before its time. Someone is desperate in our leadership and has no clue how to solve our problems.
 
Jamani,naomba wana JF tulijadili hili kwani kwangu imekuwa kero sana,yaani hata kazi za kuoika chai,karani,kufagia wapewe wahamihaji harum ,ambao wengi sana wanatokea Kenya.Naomba Idara ya Uhamihaji ifanye kazi ipasavyo,ndio hao sasa wanaongaika sana hili wapate hati ya kupigia kura kama raia ,jamani kweli tutafika- hata wazungu wengine wankuja kufanya kazi za ukarani tu hapa bongo,na permit zinatolewa kwa zaidi ya miaka miwili,nadhani sheria sio zaidi ya miaka miwili,utakuta mhamihaji kakaa hapa mpaka kanunua shamba sehemu.
Tunaomba Idara husika itupie macho hili.Haswa kwenye hizi kampuni za kigeni hapa d,salaam.

naomba tuoa hoja.(ili cctv isijeninasa,maana ndio haohao)>

labda hii article itakupa mwanga zaidi.

Kwa msaada wa Guardian ya leo mwandishi ni Felister Peter

Kariakoo market earmarked for major continental shopping centre

Kariakoo%283%29.jpg

Kariakoo market

Trade, Industry and Marketing minister Dr Mary Nagu told the House yesterday that plans were underway to turn the busy Kariakoo market complex into a major shopping centre in Africa.

She said the move would attract many investments in the area.

Dr Nagu said the government had agreed with the government of China to make Kariakoo market an African Hong Kong.

"Our aim is to create an African Hong Kong. We want people from other African countries to come and shop in Tanzania instead of going to China," she said.

She was supplementing an answer by Finance and Economy deputy minister Jeremiah Sumari, who was responding to a question from Sumbawanga–Urban MP Paul Kimiti (CCM), who wanted the government to review working permits for foreign traders, especially Chinese businessmen, who had flooded the Kariakoo market complex in Dar es Salaam.

Earlier, Sumari admitted that there were Chinese nationals with living and working permits in Tanzania.

He said the government would review permits and licences of businesspeople in order to identify those who were operating illegally.

"We have been receiving applications from people in China requesting for permits to work in various sectors in the country," he added.

The deputy minister said the majority of them were interested in conducting business while some intended to work in the construction sector.

Sumari said China had assisted Tanzania in many areas including agriculture, fisheries, mining and construction.

Meanwhile, Minister of State in the Prime Minister's Office (Policy Co-ordination and Parliamentary Affairs) Philip Marmo stressed further that the Kariakoo market complex was full of foreign traders from different places in the world including China, Bangladesh, Pakistan and India.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Kariakoo haikujengwa kuifanya markert ya Afrika? Kama wanawashwa na kutaka kufanya another Hong Kong kwa nini wasianzishe yao nje ya mji?

Kwanza planning haiwezi kuruhusu huu u-bulicheka lakini kwa sababu wameshika mpini watalazimisha tu LOL

Ati wachina wametusaidia kwani wanasaidia bure? Hii miwaziri mingine sijui ikoje. Kila siku kutembeza bakuli tu. Aibu.
 
Wahamiaji haramu popote pale ni haramu. Huwezi kuwa mhamiaji haramu majuu halafu unapinga wahamiaji haramu bongo. You have no moral high ground.
 
Watanzania wengi hawapendi purukushani katika nchi za watu. 99.9% ya Watanzania ninaowafahamu makaratasi yao yako bomba na wanaingia na kutoka bila wasiwasi wowote ule na wale ambao hawajapata makaratasi wanafuata njia halali ili kuhakikisha wanayapata makaratasi hao.
Si kweli...........na unajua komenti yako ni ya uongo! 99.9%?
 
Wahamiaji haramu popote pale ni haramu. Huwezi kuwa mhamiaji haramu majuu halafu unapinga wahamiaji haramu bongo. You have no moral high ground.

Lakini hiyo haihalalishi Tanzania kuwa na sheria ambazo hazifuatwi ati kwa sababu tuna Watanzania haramu kwenye nchi flani flani.

Si kweli...........na unajua komenti yako ni ya uongo! 99.9%?

Inategemea mtu na mtu. Kama unaukaribu na wazamiaji wasio na makaratasi utawajua wengi lakini kama una uhusiano na walio fuata sheria za uhamiaji utawajua wengi vile vile. Sioni hili kama ni tatizo tuangalie jinsi sheria zetu kama zinafuatwa. Inaonekana wazi kabisa Tanzania inakuwa shamba la bibi na hawa makuwadi wa wageni hawalioni hilo.

Charity begins at home.
 
Wahamiaji haramu popote pale ni haramu. Huwezi kuwa mhamiaji haramu majuu halafu unapinga wahamiaji haramu bongo. You have no moral high ground.
Inaitwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, personal im not against immigration if its in the interest of the nation in other worlds kama inamanufaa kwa jamii yetu kwanza ya kitanzania.

Lakini si wahamiaji wanaokuja kwa namna ya kuiba, kwa kuwa wameshaelewa viongozi wetu si wazalendo kibaya zaidi kwao ukienda wana system yao ya ku-categorize people including themselves.

Huko majuu you can achieve a lot in most nations if your the real deal nenda India au Pakistan you're fcked regardless of your education or where you obtained it, hata ikiwa kwao.

Kibaya zaidi they dont work their way up like other immigrants, wao wanaitana na kupeana deals and capitals kupitia kwenye ma-tample au community zao utadhani ardhi ya babu zao hell no.

Fact, not long ago Canada was inviting Tanzanians to apply for their citizenship upon entering their shores, the scheme was suppose to benefit 10,000 people. Just after about two thousands applications the scheme was stopped.

Want to know why, more than 95 percent of applicants where of Asians back ground to make matters worse a high percentage of those didnt speak a word of swahili. They had the news came to Tanzania, took our passport and they went.

A majority are not there for the good of the society, or just to improve their lives but to milk us at every level, i dont know about your loyalty to your people but mine is too strong.
 
...wewe ndio mfano mzuri sana wa wale wanaopenda kulaumu matatizo yao kwa watu wengine,system ya nchi inayoruhusu wizi na ufisadi haikujengwa na wala haisimamiwi na wahindi,wanaoilipua nchi yetu hawana rangi na wengi ni wabantu wenzako,na sio kweli wahindi wote ni wezi,hao wezi wangeacha/kupunguza wizi kama system ambayo 100% ni wabantu wenzako ingekuwa inafanya kazi bila rushwa,utafukuza wahindi wote lakini wizi na dhuluma zitaendelea 100% kama system haitafanya kazi,uko biased sana na emotions zako ndio zinafanya maamuzi ni kitu hatari sana inabidi ujirekebishe la sivyo utaishia pabaya.
 
Dawa ya kikoozi kata kimeo. Tuna system mbovu hamna anaekata, lakini vile vile kuna watu ambao wanasaidia ku-exacerbate the problem kwa manufaa yao, hivyo kuwa sehemu ya Tatizo na wao.

Elewa mimi sina matatizo na mtu wa rangi yeyote amini usiamini lakini nina matatizo na watu wanao changia matatizo yetu awe nani au nani. Lakini apparently wao wanachangia kwa namna kubwa. Hivi hata unajua vitu vinavyopotea au chukuliwa na bandari anauziwa nani.

Embu jaribu kwenda mnada wa bandari ujionee. Hii aina maana ya kwamba wote wabaya ila, inabidi tuangalie mchango wao mzuri na ubaya bila ya rangi zao awe mtu yeyote muhamiaji sina maana ya Patel ambae kazaliwa Tanzania wala familia yake, kwangu hawa ni watanzania tu. Lakini si Amrish Pool kutoka Lahore Pakistani nae aje afanye hivyo hivyo, ukisema mmbaguzi duuh kaazi kweli kweli.
 
Si kweli...........na unajua komenti yako ni ya uongo! 99.9%?

Duh! hata kujua niko wapi hujui lakini uko tayari kudai ninachoandika ni uongo! ha ha ha ha ha Nakwambia sasa Watanzania waliojilipua hapa hawafiki hata watatu katika kundi la Watanzania wanaokaribia 200 au wameshafikia namba hiyo na zaidi.. Sasa kama wewe unaona ninachoandika mimi ni uwongo basi utajiju. Mkisikia story za Watanzania walijiolipua ambazo zinaandikwa sana kwenye magazeti basi mnadhani kila Mtanzania aliye nje alijilipua. Kumbe asilimia kubwa wanafuata njia za halali na wala hawaukani Utanzania wao, lakini kwa kuwa hawa hawaandikwi magazetini kwamba Watanzania 100 wameomba PR katika nchi fulani na wamepata basi hizo story za wanaojilipua ndiyo inadhaniwa na wengi kwamba Watanzania wengi wanaoishi nje wanajilipua!
 
wewe unayo PR ya uliko?
 
Did somebody say that from July 1 EAC subjects will be allowed to roam. acquire land and work freely within EAC ?

Is this the deal or am I just hallucinating?
 
Wakongo, Wanyarwanda, Warundi, Waethiopia, Wasomali, Wahindi wa India, Bangladesh, Pakistan, Wachina na hata wazungu wanaoishi nchini kiharamu wanazidi kuongezeka kila siku na Wizara ya mambo ya ndani haiwachukulii hatua zozote kuhusu uvunjaji wao wa sheria za nchi.

...babu nilitegemea kwa sababu unaishi nchi za watu na kuelewa misekeseke ya wahamiaji wanayo go through labda ungekuwa more lenient na wahamiaji no matter where bro,ni rahisi kuongea tuu lakini nina uhakika path to legal resident ni ngumu sana na haiko clear kwa wahamiaji kwa nchi kama TZ na ukiongeza na rushwa basi ni next to imposible,kweli nawahurumia sana wahamiaji hawa,jamani hebu tuwe more compassionate na hawa watu maana wengi wanakuwa wamekimbia matatizo huko kwao au kutafuta unafuu wa maisha tuu,wengi wao sio criminal .
 
Kwa hili tutakwisha.. Wenzetu wa South Africa walilivalia njuga wakaamua kuwafukuza kwa nguvu.. Lkn sisi kwa usingizi huu tulionao, watahamia na kuchukua nafasi zote za juu katika makampuni na tutanyanyaswa mpaka mwisho wa DUNIA...
 
Back
Top Bottom