Jamani Mapenzi haya dah, acha tu

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Mar 11, 2023
320
495
Katika pita pita zangu mitaa ya Kariakoo ' Nikakuta Jengo kubwa Kama Ghorofa Nane linabomolewa...Nikauliza why nikaambiwa Mangi mmoja Kanunua Anabomoa Ajenge upya lingine maana site Hakuna.

Bei Tsh.1.2b hiyo manunuzi tu. Bado Gharama ya kubomoa na kujenga Mjengo wa ghorofa 10, mpya wenye Maduka Underground.

Naelekea Mtaa wa pili nakutana na lingne Kama Hilo nalo linashushwa' kuuliza huyu Ni mkinga Kanunua Bei ndefu Kama bilion huko.Anabomoa Ajenge kitu' kipya.

Nikamfuata Dalali mmoja namuliza nilitaka site Hapa Bei gani? Madalali Tena chap kuanzia Mia 500m Boss wangu.

Nikamwambia nikiwa na m100 vipi? Daah jamaa alinicheka Sana🤣
Wala hakuwa na stori na mm Tena yaani m 100 kupata site Kariakoo unaonekana Maskini🤔?....Kumbuka sjasema nilikuwa nazo no ' nimeuliza tu Kujua kitu' nilitaka kujua....Ila m100 kkoo Dalali haongei na ww labda Kama unataka frem au Godown Ila sio site ya kujenga kabisa.

Sasa mtu Ananunua ghorofa kubwa.. Ana shusha lote kisa site Hakuna Anajenga jipyaaa. Ila ukweli mchungu Vijana wengine hata life halija settle Kutwa kila siku Anateswa na Mapenzi
Yaani site yako ww Ni Mapenzi tu.
Ukiweza kununua kiwanja Ni Cha laki 7 Hadi 1.5 huko bush nje mji.

Tena unalipa kwa mbinde kidogo kidogo' Lakin medulla Oblongata yako imejaa Trending za Mapenzi ...yaani Kuna watu wako huko Zama za kale kweli kweli huko stone ange Ila wanaishi Kama kivuli kwenye ulimwengu wa kidigital wa Sasa ' Badilika wewe.

Mapenzi yalikuwepo, Yapo na utayaacha Ila unaacha urithi Gani Sasa? Chukua Nondo Hiyo.

Kichwa Cha Habari Ni mtego tu ili mje kama inzi...nipige hivyo vichwa vizuri.🤣
 
Katika pita pita zangu mitaa ya Kariakoo ' Nikakuta Jengo kubwa Kama Ghorofa Nane linabomolewa...Nikauliza why nikaambiwa Mangi mmoja Kanunua Anabomoa Ajenge upya lingine maana site Hakuna...
Hiyo cha mtoto

Kuna mtu kanunua hili ndinga jipya kabisa 500m matano tena hiyo ni 2.5B na mafuta bado hapo hivyo kama mtu ana uwezo huo hayo majengo hapo ya 1.2B ni uchafu kabisa kwake maana thamani ya haya magari ni hilo gorof mara 2 yake 🤣🤣

download (2).jpeg
download (1).jpeg
download (3).jpeg
 
Kila mbuzi huwa anakula kwa urefu wa kamba Yale jamani, Kama mtu kula yako tu yenyewe Ni ya kupapasia Sasa maisha ya Mbezi na viwanji vya mabilioni utaviweza Kweli?
 
Katika pita pita zangu mitaa ya Kariakoo ' Nikakuta Jengo kubwa Kama Ghorofa Nane linabomolewa...Nikauliza why nikaambiwa Mangi mmoja Kanunua Anabomoa Ajenge upya lingine maana site Hakuna.

Bei Tsh.1.2b hiyo manunuzi tu. Bado Gharama ya kubomoa na kujenga Mjengo wa ghorofa 10, mpya wenye Maduka Underground.

Naelekea Mtaa wa pili nakutana na lingne Kama Hilo nalo linashushwa' kuuliza huyu Ni mkinga Kanunua Bei ndefu Kama bilion huko.Anabomoa Ajenge kitu' kipya.

Nikamfuata Dalali mmoja namuliza nilitaka site Hapa Bei gani? Madalali Tena chap kuanzia Mia 500m Boss wangu.

Nikamwambia nikiwa na m100 vipi? Daah jamaa alinicheka Sana🤣
Wala hakuwa na stori na mm Tena yaani m 100 kupata site Kariakoo unaonekana Maskini🤔?....Kumbuka sjasema nilikuwa nazo no ' nimeuliza tu Kujua kitu' nilitaka kujua....Ila m100 kkoo Dalali haongei na ww labda Kama unataka frem au Godown Ila sio site ya kujenga kabisa.

Sasa mtu Ananunua ghorofa kubwa.. Ana shusha lote kisa site Hakuna Anajenga jipyaaa. Ila ukweli mchungu Vijana wengine hata life halija settle Kutwa kila siku Anateswa na Mapenzi
Yaani site yako ww Ni Mapenzi tu.
Ukiweza kununua kiwanja Ni Cha laki 7 Hadi 1.5 huko bush nje mji.

Tena unalipa kwa mbinde kidogo kidogo' Lakin medulla Oblongata yako imejaa Trending za Mapenzi ...yaani Kuna watu wako huko Zama za kale kweli kweli huko stone ange Ila wanaishi Kama kivuli kwenye ulimwengu wa kidigital wa Sasa ' Badilika wewe.

Mapenzi yalikuwepo, Yapo na utayaacha Ila unaacha urithi Gani Sasa? Chukua Nondo Hiyo.

Kichwa Cha Habari Ni mtego tu ili mje kama inzi...nipige hivyo vichwa vizuri.🤣
Sasa hili dongo ni kwa vijana wapata mikongo au😂
 
Kwahiyo hao wanaojenga ghorofa kkoo ndio hawana wapenzi,hawajali mapenzi? 🤣

Mzee mjengo wa ghorofa 8, uuzwe bilioni 1.2 muuzaji alikuwa ana daiwa ama karogwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom