Akili tu hauna ila mapenzi ni kitu oa sana

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Elewa hivyo
Ni akili tu hauna ila mapenzi wala hayaumizi,
Yenyewe wala hayanaga tabu.
Ni kitu flani hivi kama unakuwa na akili yako timamu wala hayawezi kukusumbua.

Habari zenu wana jamvi,
Kati ya vitu vinavyosumbua sana dunia kwa sasa ni mapenzi na pesa.
Pesa ni kweli kitu ngumu japokuwa kuna baadhi ya watu kama akina GODLOVE wa fb kwao ni kitu poa pia.

Nami pia wacha niwaeleze leo ukiona mapenzi yanakusumbua sumbua basi uje akili hauna.

Maada yangu ipo hapa (pia ni ushauri),
Kama una tumia akili kwenye kuchagua nani sahihi wa kuwa nae katika mapenzi wala hayawezi kuja kukutesa baadae wengi wenu hamtumii akili kwenye mapenzi.
Sanasana akina dada yaani kisa tu anakupa sana ela basi unaingia nae kwenye mapenzi. Au ni vile anatako kubwa basi hausikii wala hauoni lazima baadae utakuja kujutia tu.

Tambua kubwa kuna maisha baada ya hilo tako, kuna maisha baada ya kupendeza kwake, kuna maisha baada ya gari lake.

Wadada wengi wameingia kwenye mahusiano ya kikatili ni kufanyia ukatili wa aina mbalimbali kutokana na tamaa na mihemko ya kijinga.

Kabla ya kumpa mtu moyo wako angalia kwanza UNANAFASI GANI katika moyo wake pia.

WAKATI mwengine unapoona kama haumuelewi mwenza wako ni vyema ukaukatili moyo wako kwa kuvunja mahusiano machanga kuliko kuyaacha yakomae.
Vunja mahusiano kabla ya HAMJAKUJA KUJENGA na kuja kusumbuana mbeleni kwenye kudai asilimia.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUZAA na kuja kusumbua kizazi chenu.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA kutiana VISU nakuja kuuana.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUFUNGA NDOA isije wapa watu faida.
Mda mwengine utaona kama moyo bado unapenda ila VUNJA VUNJA VUNJAAAAAAAAAAA
kabla ya kuja kukutokea la kukutokea.

Ndio kwanza mnaanza uhusiano ile asubuhi tu mshaanza pigana haya mkikaa mwaka si mtakuja kabana kabisa nyie?

Ndio kwanza mnaanza uhusiano kashaanza ongea na wanaume/wanawake usiku haya mkija kuoana si atakuja lala kabisa nje kwa mabwana/mademu.

Mahusiano yenye matatizo hujionyesha asubuhi tu acha kujipa imani za uvumilivu za kipum
bavu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwer mapenzi yanaitaji uwe na stamina ya hali ya juu ukikaa legelege ndio vile inaishia kujipiga kitanzi na kunywa sumu ya panya muache umbugila humu Jf wengi naona tumepitia makasumba yakuacha wenza na kuwachwa uongo
 
WAKATI mwengine unapoona kama haumuelewi mwenza wako ni vyema ukaukatili moyo wako kwa kuvunja mahusiano machanga kuliko kuyaacha yakomae.
Vunja mahusiano kabla ya HAMJAKUJA KUJENGA na kuja kusumbuana mbeleni kwenye kudai asilimia.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUZAA na kuja kusumbua kizazi chenu.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA kutiana VISU nakuja kuuana.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUFUNGA NDOA isije wapa watu faida.
Mda mwengine utaona kama moyo bado unapenda ila VUNJA VUNJA VUNJAAAAAAAAAAA
kabla ya kuja kukutokea la kukutokea.
 
Ulichosema ni sahihi lakini kata ukimpata mtu sahihi changamoto hazikosekani kwenye mahusiano ila utakuwa umezipunguza pakubwa

There is no a perfect relationship/marriage because it is made of imperfect people
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUZAA na kuja kusumbua kizazi chenu.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA kutiana VISU nakuja kuuana.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUFUNGA NDOA isije wapa watu faida.
Mda mwengine utaona kama moyo bado unapenda ila VUNJA VUNJA VUNJAAAAAAAAAAA
kabla ya kuja kukutokea la kukutokea.
 
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUZAA na kuja kusumbua kizazi chenu.

Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA kutiana VISU nakuja kuuana.

Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUFUNGA NDOA isije wapa watu faida.

Mda mwengine utaona kama moyo bado unapenda ila VUNJA VUNJA VUNJAAAAAAAAAAA

kabla ya kuja kukutokea la ku
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwer mapenzi yanaitaji uwe na stamina ya hali ya juu ukikaa legelege ndio vile inaishia kujipiga kitanzi na kunywa sumu ya panya muache umbugila humu Jf wengi naona tumepitia makasumba yakuacha wenza na kuwachwa uongo

kutokea.
 
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUZAA na kuja kusumbua kizazi chenu.

Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA kutiana VISU nakuja kuuana.

Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUFUNGA NDOA isije wapa watu faida.

Mda mwengine utaona kama moyo bado unapenda ila VUNJA VUNJA VUNJAAAAAAAAAAA

kabla ya kuja kukutokea la ku

kutokea.
Ila kwer
 
Ndio kwanza mnaanza uhusiano ile asubuhi tu mshaanza pigana haya mkikaa mwaka si mtakuja kabana kabisa nyie?
Ndio kwanza mnaanza uhusiano kashaanza ongea na wanaume/wanawake usiku haya mkija kuoana si atakuja lala kabisa nje kwa mabwana/mademu.

Mahusiano yenye matatizo hujionyesha asubuhi tu acha kujipa imani za uvumilivu za kipumbavu.
 
Vunja mahusiano kabla ya HAMJAKUJA KUJENGA na kuja kusumbuana mbeleni kwenye kudai asilimia.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUZAA na kuja kusumbua kizazi chenu.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA kutiana VISU nakuja kuuana.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUFUNGA NDOA isije wapa watu faida.
Mda mwengine utaona kama moyo bado unapenda ila VUNJA VUNJA VUNJAAAAAAAAAAA
kabla ya kuja kukutokea la kukutokea

Kwahiyo tuvunje vunje eti😃😃😃
 
WAKATI mwengine unapoona kama haumuelewi mwenza wako ni vyema ukaukatili moyo wako kwa kuvunja mahusiano machanga kuliko kuyaacha yakomae.
Vunja mahusiano kabla ya HAMJAKUJA KUJENGA na kuja kusumbuana mbeleni kwenye kudai asilimia.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUZAA na kuja kusumbua kizazi chenu.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA kutiana VISU nakuja kuuana.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUFUNGA NDOA isije wapa watu faida.
Mda mwengine utaona kama moyo bado unapenda ila VUNJA VUNJA VUNJAAAAAAAAAAA
kabla ya kuja kukutokea la kukutokea.
Umesema vyema

Hapa nizungumzie hasa wanaume utakuta anaona red flags kwa mwanamke anashindwa kuvunja uhusiano

Tatizo wanetu wengine wanaingia kwenye mahusiano kwa sababu wako kummer oriented

Wanapuuzia ndio wale wa kusema 'nitambadilisha'

Naonaga wengine nyuzi zao humu mapenzi yanawachapa kmmk sio poa
 
Back
Top Bottom