Haya chukueni upesi haya yafuatayo kutoka kambini huko nchini Ivory Coast

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
1. Kocha wenu ambaye pia ni dalali ameshafanya kutompanga kabisa mchezaji Kibu Denis katika mechi za Afcon kwakuwa amekataa kuwa wakala wake na hata ikitokea akaanza kumpanga kuanzia mechi ya Zambia na Congo DR itakuwa ni kwa kutuzuga tu ila hatompa dakika 90 bali atampa nusu tu yaani dakika 45

2. kocha wenu dalali kwa kumkomoa mchezaji mpambanaji Kibu Denis kaamua kumpa nafasi mchezaji wake anayamdalalia aitwae Charles Mmombwa kwa kumpa dakika zote 90 kwa mechi zote tatu huko Afcon nchini Ivory Coast

3. Kocha wenu mkuu na dalali hana maelewano mazuri na kocha msaidizi mzawa Hemed Morocco na kwamba juzi kocha msaidizi huyo alipokuwa nae akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu ya taifa ( taifa stars ) alimtukana kama mtoto mdogo

4. Kwa sasa hakuna mahusiano mazuri kati ya nahodha wa taifa stars Mbwana Samatta ( captain Diego ) na kocha mkuu wenu dalali baada ya ile juzi wakati mechi dhidi ya wanaojua hadi wanakera Morocco kumshauri kocha mkuu wenu dalali kuwa awaingize haraka akina Simon Msuva na Kibu Denis ( dakika za awali za kipindi cha kwanza ) ili asaidiane nao kimashambulizi kule mbele na akakataa japo kinafiki baadae akamuingiza Msuva

5. Kocha msaidizi mwingine mzawa Juma Mgunda juzi wakiwa kambini walijibizana na kocha mkuu wenu dalali baada ya Mgunda kumwambia asipange kikosi cha kuzuia bali apange kikosi cha kujilipua kwani hatuna cha kupoteza na awaanzishe akina Feisal Salum, Simon Msuva na Kibu Denis ila kocha mkuu akamkatalia huku akimfokea na kuamuru kuwa kocha Mgunda asikae pale benchini wakati wa mechi na akakae juu jukwaani

6. Wachezaji wote wa timu ya taifa ( taifa stars ) wamelalamika kuwa tokea waende kambini kule Misri na hata huko mashindanoni Ivory Coast hawamuelewi kocha mkuu pamoja na mafundisho yake

7. Kadi nyekundu aliyoipata Novatus ni ya kimkakati na tegemeeni pia mechi ya Zambia mchezaji mwingine tegemeo kuipata au kujifanya kaumia ili atolewe na apumzike asije kupata majeraha na akajiharibia kibarua chake cha maana huko ulaya mbinu ambayo hata Novatus nae kaitumia baada ya kuona hakuna kocha mkuu bali kuna mpuuzi fulani tu aliyeaminiwa kuwaongoza na kuwasimamia lakini hana utaalam wala ujuzi wowote

Nawatakia kila la kheri Zambia na Congo DR pale wakicheza na Tanzania na naamini akina Musonda, Chama, Mayele na Inonga hawatoniangusha kabisa mshkaji wao cognizant mimi
 
Kila kitu kuhusu ccm ni udalali, uchawa, wizi, upendeleo, kujitafutia fedha kwa njia za uonevu, na hayo yote yanatekelezwa na Kocha - ndiyo sera ya ccm, kocha anatekeleza.

Vijana wa watu wanajituma kweli, hao wamewekwa benchi, makocha wazawa wazuri, wamepandishiwa jukwaani wakae huko juu na washangiliaji.

Kocha hana hata hofu, kwa nini? Misingi hata ya yeye kuwa kocha, ni wizi, udalali, uongo uongo na upendeleo, kwa misingi hiyo na yeye anafanya hayo hayo.

Hili soka la Tanzania linainuliwa na uwekezaji wa vilabu, na uongozi thabiti, nilisikia badaya ya kocha kuwafundisha huko, mwanasiasa kawaasa kwa masaa mawili.

Futuhi futuhi....
 
1. kocha wenu ambaye pia ni dalali ameshafanya kutompanga kabisa mchezaji kibu denis katika mechi za afcon kwakuwa amekataa kuwa wakala wake na hata ikitokea akaanza kumpanga kuanzia mechi ya zambia na congo dr itakuwa ni kwa kutuzuga tu ila hatompa dakika 90 bali atampa nusu tu yaani dakika 45

2. kocha wenu dalali kwa kumkomoa mchezaji mpambanaji kibu denis kaamua kumpa nafasi mchezaji wake anayamdalalia aitwae charles mmombwa kwa kumpa dakika zote 90 kwa mechi zote tatu huko afcon nchini ivory coast

3. kocha wenu mkuu na dalali hana maelewano mazuri na kocha msaidizi mzawa hemed morocco na kwamba juzi kocha msaidizi huyo alipokuwa nae akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu ya taifa ( taifa stars ) alimtukana kama mtoto mdogo

4. kwa sasa hakuna mahusiano mazuri kati ya nahodha wa taifa stars mbwana samatta ( captain diego ) na kocha mkuu wenu dalali baada ya ile juzi wakati mechi dhidi ya wanaojua hadi wanakera morocco kumshauri kocha mkuu wenu dalali kuwa awaingize haraka akina simon msuva na kibu denis ( dakika za awali za kipindi cha kwanza ) ili asaidiane nao kimashambulizi kule mbele na akakataa japo kinafiki baadae akamuingiza msuva

5. kocha msaidizi mwingine mzawa juma mgunda juzi wakiwa kambini walijibizana na kocha mkuu wenu dalali baada ya mgunda kumwambia asipange kikosi cha kuzuia bali apange kikosi cha kujilipua kwani hatuna cha kupoteza na awaanzishe akina feisal salum, simon msuva na kibu denis ila kocha mkuu akamkatalia huku akimfokea na kuamuru kuwa kocha mgunda asikae pale benchini wakati wa mechi na akakae juu jukwaani

6. wachezaji wote wa timu ya taifa ( taifa stars ) wamelalamika kuwa tokea waende kambini kule misri na hata huko mashindanoni ivory coast hawamuelewi kocha mkuu pamoja na mafundisho yake

7. kadi nyekundu aliyoipata novatus ni ya kimkakati na tegemeeni pia mechi ya zambia mchezaji mwingine tegemeo kuipata au kujifanya kaumia ili atolewe na apumzike asije kupata majeraha na akajiharibia kibarua chake cha maana huko ulaya mbinu ambayo hata novatus nae kaitumia baada ya kuona hakuna kocha mkuu bali kuna mpuuzi fulani tu aliyeaminiwa kuwaongoza na kuwasimamia lakini hana utaalam wala ujuzi wowote

nawatakia kila la kheri zambia na congo dr pale wakicheza na tanzania na naamini akina musonda, chama, mayele na inonga hawatoniangusha kabisa mshkaji wao cognizant mimi
Acha wakufe watoto wa kizmkazi na CCM. Hatuna lolote zuri la kuwatakia
 
lin mtaanza waamin makocha wenu nyie mbusii , sio kila mpango utafanikiwa , hicho unachokifikiria Morocco walikistudy mapema mno na kocha alitaka wasuprise kivingine ingawaje tulishindwa , timu zote za Afcon zimekuwa zinabadili kikosi kumnyima adui kuisoma timu kiurahisi

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Sasaaa kumekuchaaaaaa sasaaaaaaa kumeeekuchaaaaaaa jogoooo limekwisha wika dodoooooomaaaaaaa......
 
Kila kitu kuhusu ccm ni udalali, uchawa, wizi, upendeleo, kujitafutia fedha kwa njia za uonevu, na hayo yote yanatekelezwa na Kocha - ndiyo sera ya ccm, kocha anatekeleza.

Vijana wa watu wanajituma kweli, hao wamewekwa benchi, makocha wazawa wazuri, wamepandishiwa jukwaani wakae huko juu na washangiliaji.

Kocha hana hata hofu, kwa nini? Misingi hata ya yeye kuwa kocha, ni wizi, udalali, uongo uongo na upendeleo, kwa misingi hiyo na yeye anafanya hayo hayo.

Hili soka la Tanzania linainuliwa na uwekezaji wa vilabu, na uongozi thabiti, nilisikia badaya ya kocha kuwafundisha huko, mwanasiasa kawaasa kwa masaa mawili.

Futuhi futuhi....
Hili jambo hata mimi lilinishtua kidoogo yaani najiuliza waziri masaa 2 alikua anaongea nn??
 
Samatta hata akiwa PAOK hamalizagi dakika 90...anayebisha anipe ushahidi hata mmoja..na sio PAoK tu hata kule Royal Antwerp.

Sasa kwann leo iwe nongwa kutolewa?
 
Hata angepangwa nani Bado timu yetu haikua na nafasi ya kupata sare na Morocco kama tungepata ingekua ni maajabu ya soka.
Kwasasa timu yetu ni dhaifu kwa Morocco.
 
Juzi nikiwa natoka mihangaikon nikafika steshen posta nichukue usafir kurud nyumbani, nikakuta hiz usafir binafsi nikaingia safar. Tulikua watatu na dereva sasa tunapiga stori za game ya jion ya sis na morocco. Kila mtu analalamika kuhusu kocha na matamshi ya karia. mimi pale nyuma nilikua na mzanzibar mmoja hiv baada ya kulalamika sana, akasema huyu kocha lazima nimchafue sana ngoja warudi, akatoa simu akawa anachat watsap na moja ya top4 people katika waalimu waandamiz wa kikosi akawa ananionyesha kabisa na kunambia kuwa wana uhusiano wa karibu. Na yule mwalimu (jina kapuni) akawa anajibu text kuhusu mambo ya timu huko waliko katika uwaz sana ambapo binafsi nikaona it is not right kabisaa.. anamtumia na picha nawaona akina samata na other huko afcon

How come just a no body anaweza akawa ana influence maamuz ya viongoz katika masuala yenye mustakabali wa taifa.

Toka juz nikaanza kumuani Genta pale anaposema anavyo vyanzo vya ndani kabisaaa pale simba au tff.

Yan wajinga wana leak information kirahis mnoooo in the namw of ushkaji na kujuana.
 
Hata mimi kocha nimeamza kumshtukia kwakweli. Haiwezekani Kibu asianze tena anayeanza ni mchezaji wa kawaida sana kwa Kibu. Haeleweki mpango wake ilikua ni nini kushambulia au kulinda tu.
 
Hata angepangwa nani Bado timu yetu haikua na nafasi ya kupata sare na Morocco kama tungepata ingekua ni maajabu ya soka.
Kwasasa timu yetu ni dhaifu kwa Morocco.
Kufungwa hatukatai ila yule kocha plan yake ilikua ni nini? Au aliwatuma wachezaji kucheza rough
 
Plan ilikua kupunguza athari na goli tulizofunhwa ni chache kulingana na ubora wa mpinzani tuliye cheza naye.
Credit kwa kocha na wachezji wamejituma na wamepunguza maafa.
Kucheza rafu si mpango wa mwalimu bali ni kuzidiwa maarifa katika kucheza.
 
Back
Top Bottom