Jamani madokta wanakutana na mengi

Lofefm

Senior Member
May 22, 2011
126
72
1)Jamaa mmoja alikwenda hospitali akiwa anaumwa baada ya kupimwa na dokta akaambiwa anaumwa kiharusi jamaa akapata nafuu ghafla na kumpa dokta mkono akamwambia "ndo maana ninahamu sana ya kufunga ndoa kumbe kwa sababu ya kiharusi"
>>tembelea bongowap.hexat.com kwenye simu yako kuvunja mbavu zako zaidi
 
Back
Top Bottom