Jamani laptop yangu msaada

NGUGO

Member
Apr 8, 2012
36
6
WANA JF
KWEMA JAMVINII
JAMANI WANA JF WALE WATAALAMU WA IT NISAIDIENI!!!!
NINA LAPTOP TOSHIBA, Satellite, ina windows vista.
tatizo lake ni kuwa, nilitoa Antvirus ya Avast na kuweka nyingine ya KASPERSKY. kila ninapo UPDATE inakomea 15% tu na hivyo haikomai.
je! NIFANYEJEEEE?
 
tatizo kubwa la kaspersky ninalolijua mojawapo ndo hilo...inataka internet iliyotulia sana ili ifanye update..sasa kwa spidi za internetzetu za kibongo hizi kaspersky ndo maana inawasumbua watu wengi kwenye ku update!!
 
Unatumia modem gani? kama ya voda anzia bundle ya wiki moja na kuendelea na ukiconect acha kwa muda itaji up date yenyewe fully.
 
kila ninapo UPDATE inakomea 15% tu na hivyo haikomai.
je! NIFANYEJEEEE?
nawewe si uweke mawindow 7 mavista kitu gani? Then kuhusu kukomaa iache ikae labda baada ya miez kazaa itakomaa then utavuna
 
Labda imeingia na hidden errors fulani jaribu kuiondoa(uninstall) na kuiweka tena upya
 
Back
Top Bottom