Jamani kaburi la kanumba laleta kizaazaa

Inawezekana sehemu yenyewe ilikuwa na kaburi la mtu mwingine chini, si unajua kwamba makaburini Kinondoni hapajai? Ni hela yako tu.
 
1. RUGE
2. SHIGONGO
3. MTITU
namba 1&2 ni magamba hayo kwahyo sishangai bt cjui huyo wa 3
 
Duh, mafisadi lazima walipiga hela hapo kaburi likajengwa chini ya viwango..!
Leo imenishangaza kwenye habari za magazetini, Kanumba azikwa kwa mil 70, rambirambi zilmefikash mil 90, mama yake amepewa mil 4! Maziko kwa mil 70? Halafu tunaambiwa ameacha magari 3 na alikuwa na akiba ya mil 40. Bado kuna utata....
 
MAAJABU! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kaburi la aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’ limeanza kuweka nyufa na kutitia ikiwa ni siku 5 tu tangu alipozikwa.

Tatizo hapo ni nini sasa
 
mtoa mada hakusema mambo ya uchawi ila tungediscuss basi tungepata jibu zuri kuwa ni ujengaji au ni nini mbona watu mmekimbilia sehemu moja ya uchawi?
 
MAAJABU! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kaburi la aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’ limeanza kuweka nyufa na kutitia ikiwa ni siku 5 tu tangu alipozikwa.

ajabu ni nn? je kama wajenzi walichakachua, kama pesa za msiba wanachakachua sembuse cement? punguza kusoma magazeti ya udaku
 
No!!! anachosema hapa kipo so realy lile kaburi lilijengwa kwa cement na kumwagwa zege na nondo, haikuwa sawa kwa lenyewe kuanza kutitia leo hii 5 days after. watu walichanga sana kumzika star wao kiheshima, hata kama kuna watu wengine hawakumfaham hadi anafariki, ni kule kukosa kwao uzalendo kwa Entertainment industry za Home. HAPO IULIZWE KAMATI TENA BWANA LUGE NA BWANA MTITU NA SHIGONGO Walikuwa ndani na wote CV zao c nzuri sana.
Iundwe kamati ya ukarabati wa kaburi mwenyekiti awe Ruge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom