jamani.....!!!! jamani.....!!!!

luku_77

Senior Member
Jul 3, 2012
176
19
habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa zenji tarehe 16 usiku tulipanga siku iliyo fuata yani tarehe 17 twende kupima afya zetu. hatujawahi kunfanya tedo la ndoa hata cku 1 sikupenda kufanya mapenzi kwahofu maana ukiwa na hofu huwezi faidi mahaba.tulifika hosbital ya JWTZ ipo bububu hapa zenji. vipomo nikama hivi H I V poa uzazi ana mimba ya miezi 3
 
na wiki mbili. sikuamin kabisa nikamuuliza alikuwa hajuwi?? hakusema lolote! na aliondoka bila kumuaga mtu yoyote, mpoka hivi leo yani mda huu hapokei sim yangu, nimempigia sim dada ake kasema amefika leo Dar. jamani nifanye nini..?? naomba ushauri wenu.....
 
Heee..au mzigo sio wako,anaona haya sasa.. Fanya uchunguzi usijekuta manyoya.
 
Dah...! Hapa unataka ushauri gani mkuu? Umekosa uamuzi wako binafsi kuhusu mustakabali wa maisha yako kabisa??

Ngoja waje wenyewe.
 
Mkuu kubali tu matokeo, uamuzi ni wako, nakumbuka kuna kisa kama hicho kilishawahi kumtokea rafiki yangu ila jamaa alijipa moyo na kusonga mbele na taratibu zote za ndoa
 
Dah...! Hapa unataka ushauri gani mkuu? Umekosa uamuzi wako binafsi kuhusu mustakabali wa maisha yako kabisa??

Ngoja waje wenyewe.
nimeomba ushauri sio maamuzi! napenda kusikia jamii ina semaje sio kuniamulia nazani umenipata!
 
Hahahahahahah....iko kama hadithi moja alinipigia mama yangu ya mchungaji mmoja wa morogoro miaka ya 1980's...kumbe haya mambo ni kweli kabisa na bado yanatokeaga.
Mh...iyo inatisha...na bado unanshauri harusi...bado mentor niponipo saaaaaaana!
 
luku pole sana kaka yangu,, kwani huyo mwanamke umekua nae kwenye mahusiano kwa muda gani?? kama ni zaidi ya hiyo miezi3 na wiki mbili inamaana aliibeba hiyo mimba wakati mpo pamoja,,, sasa hapo inategemea mapenzi yako kwake mazito kiasi gani ili uamue kumuoa lakini pia unahakika huyo dada ana mapenzi mazito kama yako? na kwanini akucheat kama anakupenda kama alizidiwa na hisia kwanini hakukuambia,, na hiyo mimba aliipata katika mazingira gani?? jaribu kutafuta majibu ya haya maswali ukiyapata maamuzi ni yako sasa,,,,
 
luku_77 sikwambii pole bali hongera sana manake una Mungu wa kweli. ushauri wangu kaa pemben kuepusha msongamano.
 
Last edited by a moderator:
luku_77 sikwambii pole bali hongera sana manake una Mungu wa kweli. ushauri wangu kaa pemben kuepusha msongamano.
unajuwa ukimtanguliza mungu kwa kila jambo lililo baya atakuepushia nigekuwa mwenye tamaa za mwili kupitiliza ningeishi na mtoto asie kuwa wangu,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom