jamani.....!!!! jamani.....!!!!

sweetlady inawezekana wewe hujui nini maana ya kupenda............ Kama mtu kakolea hawezi kuona hiyo mimba, kwani ni ugonjwa....? Mie kuna jamaa niliwahi kuishi naye jirani, alioa binti aliyekuwa na mimba aliyetelekezwa na sasa wana almost miaka mitano ya ndoa na jamaa alipandikiza mtoto wake baada ya mke kujifungua na sasa wana watoto wawili.................. wewe unaongea nini bana..................!

tatizo letu sie tunaochumbiana sku.iz ujanja mwingi! mtu mmekutana mwez wa saba leo unamvisha pete ya ndoa? what if it was just a crush? binafsi time served me well.
 
Last edited by a moderator:
habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa zenji tarehe 16 usiku tulipanga siku iliyo fuata yani tarehe 17 twende kupima afya zetu. hatujawahi kunfanya tedo la ndoa hata cku 1 sikupenda kufanya mapenzi kwahofu maana ukiwa na hofu huwezi faidi mahaba.tulifika hosbital ya JWTZ ipo bububu hapa zenji. vipomo nikama hivi H I V poa uzazi ana mimba ya miezi 3
meeengi yashasemwa..mie niongeze moja tu as a point of reminder...that place they call paradise (where eeeeeeeeeverything is peeeeeeeerfect) is elsewhere and I'm very sure it isn't in this world we r living in...usishangae sana...pole lakini kaka jikaze!
 
and before I 4get, when I say jikaze, I mean move on with life kiume bila yeye...leo ujauzito cku nyingine?...we mtu mzima bwana na the last tym I checked mtu mzima anapewa heading tu, insha anaandika mwenyewe....
 
unaonekana una haraka ya kupata wife luku, mambo mazuri hayaitaji haraka, two months is not enough for the two of u kuwa engaged!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom