Magu
Senior Member
- Jun 13, 2011
- 156
- 56
Mimi napata tabu sana kupata majibu sahihi kwa kumuona kila mahari palipo na mikusanyiko ya watanzania Mhe. Edward Lowasa hata ambapo mimi sioni kama anatakiwa awepo na kupewa fursa ya kuongea. Je kuna mtu mkubwa nchi hii anampa shavu la kuongea kila penye mkusanyiko? Mfano katika misiba mikubwa na sherehe za kitaifa. Naombeni msaada wenu nipate kujua suala hili.