Jamani hivi Edward Luwasa ni nani nchi hii na ni mani anampa hizi firsa?

Magu

Senior Member
Jun 13, 2011
156
56
Mimi napata tabu sana kupata majibu sahihi kwa kumuona kila mahari palipo na mikusanyiko ya watanzania Mhe. Edward Lowasa hata ambapo mimi sioni kama anatakiwa awepo na kupewa fursa ya kuongea. Je kuna mtu mkubwa nchi hii anampa shavu la kuongea kila penye mkusanyiko? Mfano katika misiba mikubwa na sherehe za kitaifa. Naombeni msaada wenu nipate kujua suala hili.
 
Unafikiri kwa kuwa wewe unamchukia unadhani kila mtu anamchukia kiasi hicho. Kwa taarifa yako Lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu, ni waziri wa miaka mingi katika URT hata Nyerere alikufa akiwa anajua kuwa siku moja huyu mtu anaweza kuwa Rais, vile vile ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Ulinzi na usalama wako. Acha kufata mkumbo za kuambiwa changanya na zakwako.
Kwa taarifa yako tangu serikali yako imtenge imeishiwa fedha mana mishahara ya kukulisha we na familia yako walikuwa wanakopa kwake na kwa RA. Fuatilia taarifa za TRA wamevuka malengo lkn serikali haina fedha, huwezi kujiuliza?
 
Kweli kuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na usalama ni mtu mzito sana anapata update zote za usalama wa nchi!!alistahili kuwepo na kuweka shada!
 
Unafikiri kwa kuwa wewe unamchukia unadhani kila mtu anamchukia kiasi hicho. Kwa taarifa yako Lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu, ni waziri wa miaka mingi katika URT hata Nyerere alikufa akiwa anajua kuwa siku moja huyu mtu anaweza kuwa Rais, vile vile ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Ulinzi na usalama wako. Acha kufata mkumbo za kuambiwa changanya na zakwako.
Kwa taarifa yako tangu serikali yako imtenge imeishiwa fedha mana mishahara ya kukulisha we na familia yako walikuwa wanakopa kwake na kwa RA. Fuatilia taarifa za TRA wamevuka malengo lkn serikali haina fedha, huwezi kujiuliza?

unamawazo mafupi, be critical guy. Usiwe mvivu wa kufikiri na kuchanganua
 
Mimi napata tabu sana kupata majibu sahihi kwa kumuona kila mahari palipo na mikusanyiko ya watanzania Mhe. Edward Lowasa hata ambapo mimi sioni kama anatakiwa awepo na kupewa fursa ya kuongea. Je kuna mtu mkubwa nchi hii anampa shavu la kuongea kila penye mkusanyiko? Mfano katika misiba mikubwa na sherehe za kitaifa. Naombeni msaada wenu nipate kujua suala hili.

Kama wewe ni Mtanzania na haufahamu Lowasa ni nani na Nyadhifa zake ni zipi ujue wewe ni mzembe tu sana!
 
hakuna edward luwassa upo EDWARD LOWASSA RAIS WETU MTRAJIWA 2015
KAMA NI HUYO BASI SABABU NIMEKUONYESHWA KWA NINI HAPO JUU
 
Nahisi watanzania tuna matatizo, sioni kama haya yanatokea hivi hivi, mtu ambaye hata kwao katika chama wanamchikia na kimwanzishia kampeni, bado tunampa big up
ndo mana sipati picha. Kashfa za ndg yetu zinatosha kuonyesha kuwa hatufai tena kuwa kiomgozi
 
Kama makundi yataendelea kuwepo basi njia ya urais 2015 ni nyeupe kwake ana kundi kubwa zaidi chamani. Hawa wenzetu wa CDM ni nguvu ya soda (Peoples power ya soda), karibu watasambaratishana, si mmemsikia Kabwe naye anataka kugombea?
 
Upende usipende Hon. Edward N. Lowassa ndiye rais wa JMT 2015.
Kama fisadi mkuu Lowasa atakuwa rais wa tanzania, itabidi niombe uraia Burundi. Sitakuwa tayari kuiona nchi yangu ikiendelea kuwa mikononi mwa manyang'au na mimi nikiendelea kuwa raia!
 
kaka wewe ni mgeni hapa bongo?
tanzania ni tv,na aliyeshika remote anaitwa EDWARD NGOYAI LOWASA mkimwuzi ni chenga mpaka mwisho.

mi nashauri kama tumeshindwa kumnyanganya hiyo remote tuwe wapole ili tuambulie hata kuangalia katuni japo si watoto.
 
Lowassa ni
rafiki mkubwa wa rais Jakaya Kikwete
Waziri mkuu wa zamani aliyeachia ulaji tokana na kashfa ya Richmond
Mbunge wa Monduli
Mtuhumiwa mkuu wa ufisadi au ugamba
Mshirika katika serikali ya ubia ya rafiki yake
Mstaafu asiyestaafu lakini akalipwa kama mstaafu
Mchangishaji mkubwa wa pesa za kuhudumia makanisa hasa Catholic
Mwanachama wa CCM
Baba mkwe wa mgombea ubunge wa CCM Arumeru aliyetaka kurithi kiti cha baba yake, Sioi Sumaye
Ni baba wa Pamela Sioi
Ni mkuu wa mtandao mmojawapo wa CCM
Endelea...
 
Lowasa awe riasi Tanzania ooo shhhhtttt kweri hapo watanzania tutakuwa tumepeleka akli zetu likizo
 
Watu walisema watanzania Mwl Nyerere alikuwa anatuloga kwa kutumia mwenge wa uhuru unapokimbizwa nchi nzima tunanyunyiziwa uchawi wa kumpenda. Je EL anatumia nini maana sijaona hasa ni kitu gani kafanya hadi baadhi ya watanzania wampigie kampeni hivi hivi. Naamini CDM wanambinu CCM wamsimamishe EL washinde kiulaini. This looks to be CDM intelligence mission. Big up men
 
Tupende tusipende Lowassa anaogopwa na wote si CCm wala CDM. Tena sina uhakika kama kweli alitabiriwa urais na T. B. Joshua. Ingekuwa kweli ningekuaminisha kuwa ndiye Rais ajaye. Kwa ufinyu mdogo wa kifikra ndani ya CCM hakuna aliye msafi wa kumpinga Lowassa eti sababu ya ufisadi. Pili kama CDM watamsimamisha tena Dr. Slaa kugombea Urais wategemee kupata anguko kubwa kwani siasa hubadilika siku kwa siku unaweza kupendwa saa mbili asubuhi kufika saa tano watu weshakuchoka. Mleta uzi umeuliza kuwa Lowassa huwa anaalikwa na nani? Kwani unataka uwe unaletewa taaifa ya mialiko yake?
 
Unafikiri kwa kuwa wewe unamchukia unadhani kila mtu anamchukia kiasi hicho. Kwa taarifa yako Lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu, ni waziri wa miaka mingi katika URT hata Nyerere alikufa akiwa anajua kuwa siku moja huyu mtu anaweza kuwa Rais, vile vile ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Ulinzi na usalama wako. Acha kufata mkumbo za kuambiwa changanya na zakwako.
Kwa taarifa yako tangu serikali yako imtenge imeishiwa fedha mana mishahara ya kukulisha we na familia yako walikuwa wanakopa kwake na kwa RA. Fuatilia taarifa za TRA wamevuka malengo lkn serikali haina fedha, huwezi kujiuliza?

Naona Mzee Povu linakutoka,I see,Calm down!!
-Kama EL ni Mzuri kazi zake zitamshuhudia!!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom