Jamani hii ndiyo M4C niliyokuta Iringa on my way to Dar. Wewe kwenu ikoje?

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Nilipokuwa njiani kati ya Mafinga na Iringa mjini gari lilisimama na wachuuzi wakafika mara. Walikuwa wakiuza mazao mbali mbali lakini kundi la wauza nyanya lilikonga nyoyo yangu huku nikiwa na skafu ya CHADEMA shingoni.

Walikuwa wakiuza "CHADEMA moja" haya yakiwa maneno ya wachuuzi hao na vidole viwili juu. Sikuhizi huko Iringa hawaiti elfu mbili bali "chadema moja huku vidole viwili vikiwa juu".

Kwa hili BoT wanatakiwa kufanya maamuzi magumu.

M4C forever!
 
Hata barabara kuu za mkoa wa tanga zote bendera za chadema juu kila kijiji
 
wapenda mabadiliko siku zote watamwangalia mwanzilishi na mtetezi wa mabadiliko
 
Siku zinakuja ambapo kila anayesikia jina la Chadema, sikio lake litawasha.
The unseen is illustrated by the seen.
 
hakika ukombozi ndo sasa,janja ya magamba imepata tiba. viva CHADEMA
 
Mi pia nimeiona njiani toka Iringa mpaka Mbeya ni M4C ila lipo tatizo vijijini ambako news kupatikana ni shida bado wako nyuma sana
 
Jamani nimefika ubungo kupanda gari. Kama kawaida na skafu yangu shingoni. Watu vidole viwili juu, wananiambia peoples power! Na pia wananiita 'we chadema!'

M4C.
 
Nilipokuwa njiani kati ya Mafinga na Iringa mjini gari lilisimama na wachuuzi wakafika mara. Walikuwa wakiuza mazao mbali mbali lakini kundi la wauza nyanya lilikonga nyoyo yangu huku nikiwa na skafu ya CHADEMA shingoni.

Walikuwa wakiuza "CHADEMA moja" haya yakiwa maneno ya wachuuzi hao na vidole viwili juu. Sikuhizi huko Iringa hawaiti elfu mbili bali "chadema moja huku vidole viwili vikiwa juu".

Kwa hili BoT wanatakiwa kufanya maamuzi magumu.

M4C forever!

Kwa maslahi ya magamba siyo na walivyo na akili mbovu hawachelewi!
 
Mh! Niko maeneo ya Segera njiani ni burudani. Bendera zinapepeo ila pale Chalinze vipi? Mbona bendera za Magamba ni nyingi sana? Kijana wa Chalinze wacha kukumbatia uovu wa CCM...amka sasa. Hujachelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom