Jamani hii kali haijawahi tokea

TINGA TINGA

New Member
Jun 7, 2011
4
1
wapendwa wanablog, naomba msaada wenu,
Kuna shost yangu kakutwa na jambo hili wadau mnashaurije?

Huyu shost wangu alikuwa na jamaa yake, but with time, penzi lao likawa linayoyoma. Jamaa yake alikuwa na mkewe ila akamficha huyu kimada wake, huku huyu wa nje akijua anaolewa. Jamaa alikuwa akimpa miahadi kibao kuwa atamuoa. With time mdada akawa na mwanamume wake mwingine, Na upande wa pili jamaa akawa ana vitoto vingine.

Siku moja jamaa akawa amekorofishana na rafiki yake wa kiume ambaye alikuwa na siri zote za hawa wawili ambao wanafichana mambo yao. Huy rafiki wa kiume wa kuyu jamaa naye ana mkewe, ila naye akawa anaiba kidogo kidogo nje ila yeye huwa hawafichi hawa vitotoz kuwa ana mke. Mwenzake ndo aikuwa anaficha.

Wakati wanakorofishana, ikawa siku ya kufa nyani .... Jamaa na huyu demu wake wanaodanganyana wakafuaniana. jamaa kafumania message za mahaba kwenye simu ya demu, wakagombana mbele ya huyu rafiki wa kiume na watu wengine. Message zilikuwa zinatisha jamaa alivyokuwa anamsifia demu wawapo uwanjani.

Demu akawa hoi tena kutukanwa mbele ya watu kamdhalilisha. Huku jamaa akijimwambafy mbele ya watu kuwa kamfumania demu wake, huyu jamaa yake akamtonya demu kuwa huyu jamaa yako mbona ana mke anakudhalilisha nini mbee ya watu hivi?

Sinema ikabadilika ghafla, jamaa akajikuta ananywea kama maji na baadaye akagundua kuwa aliyetoa siri ni jamaa yako. Sasa kitim tim!!!!! Jiweke kwenye position ya yeyote kati ya hawa watu watatu ungefanyaje? Huyu aliyetoa siri anajua kuwa jamaa anaweza kuja kumwaga unga kwa mke wa huyu jamaa na tena ana namba zake. aliyetoa siri pia ana namba ya mke wa jamaa yake, na huyu demu aliyefumaniwa aliyenywea mwanzoni na baadaye kabadilika mbogo baada ya kuambiwa jamaa ana mke. Kazi kwenu wadau mnajifunza nini hapa?
 
Ndio faida ya mtu muongo na tapeli la mapenzi. Na huyo jamaa alizidisha bwana, utamdharirishaje dem wako mbele za watu, ili iweje? au msaada gani aliupata kutoka kwa hao watu? jamaa adabu hana. Mwisho wake zao watajua michezo yao ya kushobokea madem wengine na kuwasaliti wake zao. Mie namshauri huyo dada aachane nae huyo jamaa.
 
more than confuzd..:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:....kazi ipo kweli kweliu!....
 
Sasa hamjaelewa nini???

Kuna wakaka wawili marafiki wameoa na wote wanatoka nje ya ndoa zao.Mmoja ni muwazi kwa hawara zake kwahiyo wanajua kuna mama mwenye nyumba na wa pili kajipatia nyumba ndogo hajamwambia ni mume wa mtu na ahadi za kumuoa kampa.

Siku moja yule anayemhadaa dada wa watu kwa ndoa akakuta msg za mapenzi kwenye simu ya nyumba ndogo wake huyo...akaanza kumtukana hadharani..sijui walikua bar au kwenye mtoko tu.Nwy kilichofuata ni rafiki wa mume mwizi aliemuahidi dada ndoa kumpa dada live kwamba jamaa asikuzingue..anakuaibisha mbele za watu wakati na yeye ana mke?!

Habari ndo hiyo!‘
 
jamaa akawa na rafiki yake,akawa na demu wake,akawa yeye akawa jamaa yake akawa mkewe...dah:madgrin::madgrin:
 
Huyo mwanaume aliyemchoma mwenzake avalishwe skirt tu, wanaume hawako hivo, anyway hakuna wa kumlaumu mwenzake wote ngoma droo
 
Totally confused aise..ht cjui nani kafanya nn..jamaa akaenda..jamaa ana mke..ana demu..ye jamaa kamwambia ana mke.
 
wapendwa wanablog, naomba msaada wenu,
Kuna shost yangu kakutwa na jambo hili wadau mnashaurije?

Huyu shost wangu alikuwa na jamaa yake, but with time, penzi lao likawa linayoyoma. Jamaa yake alikuwa na mkewe ila akamficha huyu kimada wake, huku huyu wa nje akijua anaolewa. Jamaa alikuwa akimpa miahadi kibao kuwa atamuoa. With time mdada akawa na mwanamume wake mwingine, Na upande wa pili jamaa akawa ana vitoto vingine.

Siku moja jamaa akawa amekorofishana na rafiki yake wa kiume ambaye alikuwa na siri zote za hawa wawili ambao wanafichana mambo yao. Huy rafiki wa kiume wa kuyu jamaa naye ana mkewe, ila naye akawa anaiba kidogo kidogo nje ila yeye huwa hawafichi hawa vitotoz kuwa ana mke. Mwenzake ndo aikuwa anaficha.

Wakati wanakorofishana, ikawa siku ya kufa nyani .... Jamaa na huyu demu wake wanaodanganyana wakafuaniana. jamaa kafumania message za mahaba kwenye simu ya demu, wakagombana mbele ya huyu rafiki wa kiume na watu wengine. Message zilikuwa zinatisha jamaa alivyokuwa anamsifia demu wawapo uwanjani.

Demu akawa hoi tena kutukanwa mbele ya watu kamdhalilisha. Huku jamaa akijimwambafy mbele ya watu kuwa kamfumania demu wake, huyu jamaa yake akamtonya demu kuwa huyu jamaa yako mbona ana mke anakudhalilisha nini mbee ya watu hivi?

Sinema ikabadilika ghafla, jamaa akajikuta ananywea kama maji na baadaye akagundua kuwa aliyetoa siri ni jamaa yako. Sasa kitim tim!!!!! Jiweke kwenye position ya yeyote kati ya hawa watu watatu ungefanyaje? Huyu aliyetoa siri anajua kuwa jamaa anaweza kuja kumwaga unga kwa mke wa huyu jamaa na tena ana namba zake. aliyetoa siri pia ana namba ya mke wa jamaa yake, na huyu demu aliyefumaniwa aliyenywea mwanzoni na baadaye kabadilika mbogo baada ya kuambiwa jamaa ana mke. Kazi kwenu wadau mnajifunza nini hapa?

Kwa kifupi unasemaje sijakuelewa mimi!
 
Nimekuelewa,ila ujue "Two can play that game" kwahiyo kama bibie nae anaplay sioni tabu!
 
Kuna code inayosema bros over ******....huyo jamaa aliyemwaga siri ya mwenzake hafai hata kama wamegombana
 
jamaa akawa na rafiki yake,akawa na demu wake,akawa yeye akawa jamaa yake akawa mkewe...dah:madgrin::madgrin:

Hahahahahah! lol! bado nasikiliza Roselyne...endelea tu hahahahah lol! :)
 
Back
Top Bottom