Jamani hii kali haijawahi tokea

Sasa hamjaelewa nini???

Kuna wakaka wawili marafiki wameoa na wote wanatoka nje ya ndoa zao.Mmoja ni muwazi kwa hawara zake kwahiyo wanajua kuna mama mwenye nyumba na wa pili kajipatia nyumba ndogo hajamwambia ni mume wa mtu na ahadi za kumuoa kampa.

Siku moja yule anayemhadaa dada wa watu kwa ndoa akakuta msg za mapenzi kwenye simu ya nyumba ndogo wake huyo...akaanza kumtukana hadharani..sijui walikua bar au kwenye mtoko tu.Nwy kilichofuata ni rafiki wa mume mwizi aliemuahidi dada ndoa kumpa dada live kwamba jamaa asikuzingue..anakuaibisha mbele za watu wakati na yeye ana mke?!

Habari ndo hiyo!'
dah bora umenirahisishia kuielewa ,nimesoma zaidi ya mara mbili lakini nilikuwa sielewi, kama ni mtihani ningefeli..
 
Nyiw wanaume, kama kweli umeamua kumsaliti mkeo (ingawa sishabikii hili), basi vaa pete yako ya ndoa na huyo dada ajue wzi toka mapema ili usije ukamuumiza hapo baadaye. Kwa kuwa uhusiano wenu utakuwa wa ngono (kwa mwanaume) na pesa (kwa hawara), basi kila mtu atajitahidi apate the best of all.

Poleni sana
 
Back
Top Bottom