Jamani haya mambo yanajulikana?

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
522
240
Kuna mambo mengi yanasemekana yamepangwa ili kura ziibiwe! Naomba kama kuna dalili huko mtaarifu.
Katika gazeti la msemakweli jana tulipewa namba ambayo tunatakiwa kutumia kutoa taarifa kama kuna kitu chochote kinachoonekana kwenda kinyume na taratibu za uchaguzi
 
acheni propaganda, ccm lazima ishinde ,ukweli unauma ila lazima muukubali
 
Back
Top Bottom