"Jamani hawa jamaa sijui vipy"

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,083
1,135
Mm nazungumzia hawa wajasiriamali wauza chips mitaani(take away).hivi hawa jamaa mbona huwa hawajali wateja wageni?
Mfano;unaagiza wa kwanza tena unakuta hakuna mteja hata mmoja,wakati unasubiri anakuja jamaa anayemjua jina huyo muuzaji na kupewa kile ulichoagiza ww.mm nauliza hivi hawa wanatofauti na makonda kweli kiutendaji?
t
 
Ndio maana hawaendelei. Akitokea mmoja awe msafi msafi na anajua kuwajali wateja anaendelea haraka na kufungua ka restaurent ka kiushkaji
 
Hiyo biashara ya wapi? ukinitajia sehemu nitajua hasa sehemu ambazo wenye nazo wanapita sana!
 
Back
Top Bottom