Jamani eti naye anataka kunizalia mtoto

Ivi kwanini wanaume mnakuaga na tamaa, unamke, watoto wawili kwani uyo atakayekuzalia n gold au, wanaume jitambueni acheni tamaa

Aya tutaanza kujitambua ila umecomment kwa hisia kali jaribu kusoma uzi then ukitulia ndo uje ukoment ..Nashukuru
 
Hebu iulize nafs yk ikitokea mkeo akinzaa na mtani jiran yenu utajisikiaje na bd utaendelea kumpenda na kumheshim jib utajalolipata ndo njia yakuifwata
 
Bado nipo kwny dimbwi la mawazo ndio maana nikaleta hapa shauri langu najua wapo watakaonipa maoni tofauti

Mkuu achana naye tafadhali, mheshimu mama watoto wako, linda hiyo ndoa. Nakuhakikishia kwamba akikizalia mtoto hautafanana naye, atafafana na babu yake mzaa mama.
 
Baki njia kuu. Huo ni mtego. Ukisha mtundika mimba tu itakuletea shida. Ndoa yako itakuwa na migogoro pia amani haitakuwepo.
 
Ninampenda sana tu ndio maana niko nae mwaka wa 8 huu

Wingi wa miaka ya kuwa pamoja si kipimo cha upendo. Kama kweli unampenda mbona wamsaliti kugawa penzi? mbona waenda kinyume na ahadi ulizompa kabla ya kuanza kuishi na yeye?? kwavile umemtumia wataka kumdump siyo... then go ahead malipo ni hapahapa duniani utajikuta huna ndoa,wala familia hapo ndo majuto huja ulia na kusaga meno.Shauri yako!!
 
Utakuwa umekunywa konyagi na zanzi ndiyo huwa zinamfanya mtu hivyo,,subili zikiisha utapata jibu
 
Wingi wa miaka ya kuwa pamoja si kipimo cha upendo. Kama kweli unampenda mbona wamsaliti kugawa penzi? mbona waenda kinyume na ahadi ulizompa kabla ya kuanza kuishi na yeye?? kwavile umemtumia wataka kumdump siyo... then go ahead malipo ni hapahapa duniani utajikuta huna ndoa,wala familia hapo ndo majuto huja ulia na kusaga meno.Shauri yako!!

Duh......nadhani haujanielewa kabisa KING' daughter......cjaanza kumsaliti na wala cna mpango wa kumtupa jamani hebu nielewe
 
Last edited by a moderator:
Ungemuuliza anataka mtoto tuu au na malezi ya mtoto na uitwe baba i mean awe Mke mdogo..?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom