Jamani Eeeh

Shs 10,000 za nini tena? Kwani tunalipia kikao? No, we will just seat as if a few friends have met for a drink on a Friday evening!

mh upo sahihi masaki tusije tukapoteza lengo halisi la kukutana kwani tunakutana kwa ajili ya kuchangia maafa sasa mkianza tena kuspend zaidi ya unachochangia inakuwaje tena uchakavu usizidi mchango
 
Anywei mm memba usijali ah ah ah
mh upo sahihi masaki tusije tukapoteza lengo anywei mm memba usijali ah ah ah halisi la kukutana kwani tunakutana kwa ajili ya kuchangia maafa sasa mkianza tena kuspend zaidi ya unachochangia inakuwaje tena uchakavu usizidi mchango
 
mkatoe michango bana, sio mpige kilaji msahau tena kilichawapeleka hapo.
mara kuku, mara sijui kitimoto, mara sijui kokoto.
 
Back
Top Bottom