jamani eeeeeeeeeee NIMECHOKA KUKOPWA....!

Mie kijijini kwangu, msichana kama haolewi basi anahamia eneo lingine ng'ambo ya pili ya mto, hatachukua muda, jamaa wanatangaza nia!
Hata kama hatapata wa jumla huko, akirudi nyumbani baada ya miezi 6 tayari anaonekana mpya....wanachukua ni fasta!

Ushauri:...
Hapo kwenu washakujua kuwa unakopesha mno.
Hamia ugenini au mji mpya(kwa dada mkubwa, binamu etc), ubadili tabia yako na kuwa geti kali, hutacheleweshwa!

wadada wengi wametumia hii approach............
It really proves right,
Tafakari, chukua hatua!!!!
 
duhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

siamini kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mie kijijini kwangu, msichana kama haolewi basi anahamia eneo lingine ng'ambo ya pili ya mto, hatachukua muda, jamaa wanatangaza nia!
Hata kama hatapata wa jumla huko, akirudi nyumbani baada ya miezi 6 tayari anaonekana mpya....wanachukua ni fasta!

Ushauri:...
Hapo kwenu washakujua kuwa unakopesha mno.
Hamia ugenini au mji mpya(kwa dada mkubwa, binamu etc), ubadili tabia yako na kuwa geti kali, hutacheleweshwa!

Thanks Paka J....
nitazingatia ushauri wako
 
Saaly wala usiwe na hofu, jitunze na endelea kumuomba Mungu,wakati ukifika atakuwa mnunuzi wa daima. Jifunze kutokana na yalipota na endelea kujipenda na kujitunza....ipo siku utajibiwa sala zako.....Mungu hawahi wala hachelewi. Usiharakishe ukatumbukia kwa vimeo,kuwa na subira na take your time,life is short by the way!!!:A S-rose:

Thanks Michele kwa kunitia moyo,as umri unavyosogea i get desperate.
 
Kununua na kukopa ndo biashara. Wengine wanakuja kama wanunuzi kumbe wakopaji wenye maudhi. Huwezi kuacha biashara eti kwakuwa wakopaji ni wengi, inabidi uwaangalie wateja wako kwa makini, la sivyo watakuumiza moyo mpaka maini.
 
Na akiweza vizuri anaweza wawekea interest ya mkopo badae akija kulipwa kunakuw a na ongezeko kidogo
 
Hata mi nilidoda kama wewe, mnunuzi alitokea bila kutegemea, nimempa jumla kwa bei pooooooooooooooa. Pray mamito
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom