jamani eeeeeeeeeee NIMECHOKA KUKOPWA....!

duh,mpango ninao though sidhani kama ni priority.....mi ntaka kununua dearest,sitaki kununuliwa....hata mi bado nahesabu,na u sweet 16 wangu bado mchanga kabisa....l.o.l
Kwa kweli muda umefika na sie wa kuchagua tunavyovitaka, sio kila siku kuchaguliwa tu kama karanga
 
yaani JF saivi haidi wauzaji wa uwanja wa fisi wame vamia?
kaazi kwel kweli,nendeni jukwaa la uchumi basi
 
Saaly wala usiwe na hofu, jitunze na endelea kumuomba Mungu,wakati ukifika atakuwa mnunuzi wa daima. Jifunze kutokana na yalipota na endelea kujipenda na kujitunza....ipo siku utajibiwa sala zako.....Mungu hawahi wala hachelewi. Usiharakishe ukatumbukia kwa vimeo,kuwa na subira na take your time,life is short by the way!!!:A S-rose:

Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Saaly kama uko serious;mimi mwenyewe nilikuwa natafuta.Nenda katizame thread yangu yenye kichwa cha habari MAHUSIANO halafu unijulishe.
 
Mmmhhhh, nenda majembe ndo kiboko yao, kama wamekopa watalipa. Ila kama ulikodisha, wanatumia na kurudisha, usikodishe tena eee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom