klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,143
Mmmmmh mchungaji mwenyewe ndo wewe?? Anyway hebu ngoja nisiseme sana manake wakati huwa unaamua mambo.
ATM ikoje???
hela ya sadaka itasaidia. naomba waumini wa kike mkuje kwa wingi. atakaepata habari hizi amtaarifu na mwenziwe.