Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,406
kuja huku
mmmmmh! Kuna ni tena huko na usiku huu mweh!kuja huku
mmmmmh! Kuna ni tena huko na usiku huu mweh!
Wewe nawee?
Punguza basi shauzi !
Asa unashangaa nini ?
Kuna shangazo hapa bibie ?
Ndiyo kusema huuoni mtiririko wa huu Uzi ?
Lulu hiyo kunako kisosi !
Ichezee uvune mabua!
Shaurirrro! Minafasi ya kiivi wenziwako huisaka Bagamoyo, Pemba n.k n.k
sio kila lulu uionayo inang'aa basi uone ni lulu kweli mweh! utaingizwa choo cha kike shauri yako mi simo.. Saint Ivuga mwaya sema kuna ni uko jamani au ndio ushalalaWewe nawee?
Punguza basi shauzi !
Asa unashangaa nini ?
Kuna shangazo hapa bibie ?
Ndiyo kusema huuoni mtiririko wa huu Uzi ?
Lulu hiyo kunako kisosi !
Ichezee uvune mabua!
Shaurirrro! Minafasi ya kiivi wenziwako huisaka Bagamoyo, Pemba n.k n.k
umeona ee maneno lundo vitendo 0Hahaaa..najuta! hapana chezeya mutoto ya pwani..swali moja majibu 9000.
sio kila lulu uionayo inang'aa basi uone ni lulu kweli mweh! utaingizwa choo cha kike shauri yako mi simo.. Saint Ivuga mwaya sema kuna ni uko jamani au ndio ushalala
...eti ..hii avatar yako...na huo mkao wako... unamuamini nani?..naomba ulinzi wa kukulindamh....kumbe sio huku hebu nigeuze fasta
Hahaaa..najuta! hapana chezeya mutoto ya pwani..swali moja majibu 9000.
usiangaike sana yupo hapa,yapo ya elfu 10,elfu 50,laki 1 na lile kubwa kama simtank ndogo ni laki 3..We sema nikupe namba ya mganga tu ukamilishe malipo.ngoja nikatafuta mganga wa kienyeji ..some one want busha for really
ngoja nikatafuta mganga wa kienyeji ..some one want busha for really
jamani cute...
kakufanyaje?