Ogopa mtu anayejiita jina akianza na vimaneno kama Dr, Intelligent, Boss, Bingwa, Cute!

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Mara nyingi hawa watu ni wajuaji sana, wabishi, wapenda sifa na wasiopenda kuwa criticized.

Afadhali wangekuwa na hurka ya ujuaji alafu angalau wanajua kweli ila ni basi tu wanasifa ya kipekee ya ku-debate mambo ovyo ovyo huku wakija na uchambuzi uliokuwa based sana na conclusion yao sio ya kimatunda juu ya hio topic bali ni ya kujionesha ukuu wao ulivyo juu zaidi yako mleta topic.

Tuko tofauti sana wanadamu, tunaheshimu hilo, ila haimaanishi upumbavu wako ndio u-define na uchambue utu wetu. Upumbavu wako baki nao kama tulivyobaki nao wa kwetu then kama hauna uwezo wa kuja na criticism ilio pevuka kama kimya na ukubali pia pale utakapo kuwa criticized.

Tunasubiria comments zenu ili mjioneshe asili yenu halisi.
 
unaskia kiongozi: mnaichukulia jf serious sana.
mimi niliwahi kuchukulia hivyo kipindi cha miaka kama 7 iliopita! sasa hivi huwa nasoma tu vya msingi naishia zangu mtu anaweza ni quote nisijibu muda wa kubishana nautoa wapi
chukulia poa tu mkuu
NB: Hulka sio hurka
 
mimi napenda sana mtu ambaye labda ni dr, prof, engineer, mchungaji lakini hatangulizi hayo kwenye majina yake.
Hakuna jambo rahisi kama kuishi na watu wapenda sifa , mimi nawaona wapenda sifa ni watu safi wasiopenda unafki wanaonyesha hulka yao live bila kusita, kwa sababu kila binadamu ni mpenda sifa, sema tu unafki unatufanya tuishi kwa kutojionyesha.
 
Mara nyingi hawa watu ni wajuaji sana, wabishi, wapenda sifa na wasiopenda kuwa criticized.

Afadhali wangekuwa na hurka ya ujuaji alafu angalau wanajua kweli ila ni basi tu wanasifa ya kipekee ya ku-debate mambo ovyo ovyo huku wakija na uchambuzi uliokuwa based sana na conclusion yao sio ya kimatunda juu ya hio topic bali ni ya kujionesha ukuu wao ulivyo juu zaidi yako mleta topic.

Tuko tofauti sana wanadamu, tunaheshimu hilo, ila haimaanishi upumbavu wako ndio u-define na uchambue utu wetu. Upumbavu wako baki nao kama tulivyobaki nao wa kwetu then kama hauna uwezo wa kuja na criticism ilio pevuka kama kimya na ukubali pia pale utakapo kuwa criticized.

Tunasubiria comments zenu ili mjioneshe asili yenu halisi.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
usisahau JF expert
 
Princess hiyo ni madharau sasa
amna! Unajua nilishawahi kubishana na mtu mkorofi sana miaka hio jukwaa la intel na nilikua mdau haswa nikamsuuza mpaka mod baadhi ya comment zangu wakaona ni za kibaguzi!
Ila muda huenda here we are! Sina utu uzima huo ila sioni tena sababu ya kufatilia mtu akijifanya kujua jua namuacha tu na nashangaa hatawatu wanatoa wapi nguvu ya kuzingatia mana saivi najikutaga niko sport nafurahia michezo
sasa sijui ndo dharau
 
Mara nyingi hawa watu ni wajuaji sana, wabishi, wapenda sifa na wasiopenda kuwa criticized.

Afadhali wangekuwa na hurka ya ujuaji alafu angalau wanajua kweli ila ni basi tu wanasifa ya kipekee ya ku-debate mambo ovyo ovyo huku wakija na uchambuzi uliokuwa based sana na conclusion yao sio ya kimatunda juu ya hio topic bali ni ya kujionesha ukuu wao ulivyo juu zaidi yako mleta topic.

Tuko tofauti sana wanadamu, tunaheshimu hilo, ila haimaanishi upumbavu wako ndio u-define na uchambue utu wetu. Upumbavu wako baki nao kama tulivyobaki nao wa kwetu then kama hauna uwezo wa kuja na criticism ilio pevuka kama kimya na ukubali pia pale utakapo kuwa criticized.

Tunasubiria comments zenu ili mjioneshe asili yenu halisi.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
constructive criticism na deconstructive criticisms za humu JF, zikusaidie kuongeza ufahamu na uelewa wa kutosha juu ya masuala mbalimbali itakusaidia 🐒

ukizingatia zaidi personality badala ya ideas, lessons, arlets, warning, information etc....
utajikuta unajiskia vibaya tu always 🐒
 
Back
Top Bottom