Jamani Cute

Pole Mtakatifu kwa kutepeta hadi kuvunja ukimya!
Cuteeeeeee!
Kuja kipande hii patia huyu mtu calmy!
Expression of compassion always is qure! So far Bidada please provide soothin' with sympathy to Mtakatifu!
Hapa ntapiga debe hadi nione SI anaondoka na chikopo (trophy)
 
117.gif
117.gif
117.gif
117.gif
117.gif
117.gif
117.gif
117.gif
 
mmmmmh! Kuna ni tena huko na usiku huu mweh!

Wewe nawee?
Punguza basi shauzi !
Asa unashangaa nini ?
Kuna shangazo hapa bibie ?
Ndiyo kusema huuoni mtiririko wa huu Uzi ?
Lulu hiyo kunako kisosi !
Ichezee uvune mabua!
Shaurirrro! Minafasi ya kiivi wenziwako huisaka Bagamoyo, Pemba n.k n.k
 
Hahaaa..najuta! hapana chezeya mutoto ya pwani..swali moja majibu 9000.
 
Wewe nawee?
Punguza basi shauzi !
Asa unashangaa nini ?
Kuna shangazo hapa bibie ?
Ndiyo kusema huuoni mtiririko wa huu Uzi ?
Lulu hiyo kunako kisosi !
Ichezee uvune mabua!
Shaurirrro! Minafasi ya kiivi wenziwako huisaka Bagamoyo, Pemba n.k n.k
sio kila lulu uionayo inang'aa basi uone ni lulu kweli mweh! utaingizwa choo cha kike shauri yako mi simo.. Saint Ivuga mwaya sema kuna ni uko jamani au ndio ushalala
 
Last edited by a moderator:
Kiherehere nacho kina gharama zake!
Yaani ninaowapigia debe si He , si She wote wamelala mbele!
Mie nasubiri nini ? Sirudi tena pande hii !
Anyauuu!
 
sio kila lulu uionayo inang'aa basi uone ni lulu kweli mweh! utaingizwa choo cha kike shauri yako mi simo.. Saint Ivuga mwaya sema kuna ni uko jamani au ndio ushalala

I love you CUTE, ningeupata moyo wako?
I'dd give up my ID just for you...
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikatafuta mganga wa kienyeji ..some one want busha for really

Afu mwanangu ungejua kama wewe ndo umenichezea rafu wala usingeongea Ki-Mwigulu Mwigulu hivo, hiyo siku nakutana na wewe lazima nikutawanye choo kubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom