Godbless-Arachriss
New Member
- Mar 27, 2012
- 4
- 0
Help me please
Hongera kwa kuchaguliwa Special xul ila kaza buti sana mwana kwani ni aibu umalize kibaha halafu upate one ya point 6! Ni shule nzuri ktk special zote hila kiacademy performance si kivile sana mnaweza ukakuta one ya tatu moja au mbili,kitu mzumbe na ilboru one za tatu na nne mpaka 30.
si kweli kaka, nimemaliza pale, swala la one za point 3 inategemeana na mwaka, na kwa sasa kibaha ni nzuri kuliko Mzumbe na Ilboru, kama huamini fuatilia matokeo kuanzia 2009.
Mdogo wangu hongera sana ile shule ni nzuri kuanzia academic hadi maladhi.

nahitaji kufanya uwamisho kuja kibaha kwa mchepuo wa PCM,gpa ya 2.4
Hongera kwa kuchaguliwa Special xul ila kaza buti sana mwana kwani ni aibu umalize kibaha halafu upate one ya point 6! Ni shule nzuri ktk special zote hila kiacademy performance si kivile sana mnaweza ukakuta one ya tatu moja au mbili,kitu mzumbe na ilboru one za tatu na nne mpaka 30.
si kweli kaka, nimemaliza pale, swala la one za point 3 inategemeana na mwaka, na kwa sasa kibaha ni nzuri kuliko Mzumbe na Ilboru, kama huamini fuatilia matokeo kuanzia 2009.
Mdogo wangu hongera sana ile shule ni nzuri kuanzia academic hadi maladhi.
Mkuu latest hizi shule zimekuwa hazifanyi vizuri kama kipindi cha nyuma.
One za 3-4 ni za kutafuta kwa tochi.
Nbg
Kama special schools ni hizo shule tatu tuu.. Sawa....
Maana nilitaka kushangaa, Tabora Boys nayo hizo 3 ni za kutafuta kwa tochi??
Kuanzia 2011 Tabora Boys iko on fire si kitoto!!!