Jaman kibaha high school ikoje?

Hongera kwa kuchaguliwa Special xul ila kaza buti sana mwana kwani ni aibu umalize kibaha halafu upate one ya point 6! Ni shule nzuri ktk special zote hila kiacademy performance si kivile sana mnaweza ukakuta one ya tatu moja au mbili,kitu mzumbe na ilboru one za tatu na nne mpaka 30.
 
We uliingiaje huku jf wakati bado kinda wa o-level? unayaweza ya huku?
 
Hongera kwa kuchaguliwa Special xul ila kaza buti sana mwana kwani ni aibu umalize kibaha halafu upate one ya point 6! Ni shule nzuri ktk special zote hila kiacademy performance si kivile sana mnaweza ukakuta one ya tatu moja au mbili,kitu mzumbe na ilboru one za tatu na nne mpaka 30.

si kweli kaka, nimemaliza pale, swala la one za point 3 inategemeana na mwaka, na kwa sasa kibaha ni nzuri kuliko Mzumbe na Ilboru, kama huamini fuatilia matokeo kuanzia 2009.

Mdogo wangu hongera sana ile shule ni nzuri kuanzia academic hadi maladhi.
 
nahitaji kufanya uwamisho kuja kibaha kwa mchepuo wa PCM,gpa ya 2.4
 
si kweli kaka, nimemaliza pale, swala la one za point 3 inategemeana na mwaka, na kwa sasa kibaha ni nzuri kuliko Mzumbe na Ilboru, kama huamini fuatilia matokeo kuanzia 2009.

Mdogo wangu hongera sana ile shule ni nzuri kuanzia academic hadi maladhi.

kaka vp nafasi naweza pata hapo,,nahitaji kusoma hapo mchepuo ni PCM
 
Hamna kitu hapo...
Shule inayo kimbiza hivi sasa ni Tabora boys.. Ndio ipo kwenye ramani.
Kama huamini Cheki matokeo kuanzia 2011 upwards. Mwaka jana imetoa TO na kuwa Best government School NATIONWISE.
 
Hongera kwa kuchaguliwa Special xul ila kaza buti sana mwana kwani ni aibu umalize kibaha halafu upate one ya point 6! Ni shule nzuri ktk special zote hila kiacademy performance si kivile sana mnaweza ukakuta one ya tatu moja au mbili,kitu mzumbe na ilboru one za tatu na nne mpaka 30.

Mkuu latest hizi shule zimekuwa hazifanyi vizuri kama kipindi cha nyuma.

One za 3-4 ni za kutafuta kwa tochi.
 
si kweli kaka, nimemaliza pale, swala la one za point 3 inategemeana na mwaka, na kwa sasa kibaha ni nzuri kuliko Mzumbe na Ilboru, kama huamini fuatilia matokeo kuanzia 2009.

Mdogo wangu hongera sana ile shule ni nzuri kuanzia academic hadi maladhi.

Mie siwaelewi mjue....
Nashangaa mmekomalia kutaja Kibaha, Mzumbe na Ilboru tuu...
Tabora Boys inayokimbiza sasa hivi mnaipuuzia kwanini!!!
Chekini matokeo ya hizi shule nne kuanzia 2011 muone moto wa Boys.
Noma!!!!
 
Nbg
Mkuu latest hizi shule zimekuwa hazifanyi vizuri kama kipindi cha nyuma.

One za 3-4 ni za kutafuta kwa tochi.

Kama special schools ni hizo shule tatu tuu.. Sawa....
Maana nilitaka kushangaa, Tabora Boys nayo hizo 3 ni za kutafuta kwa tochi??
Kuanzia 2011 Tabora Boys iko on fire si kitoto!!!
 
Nafurahi kusikia hivyo, mimi nimemaliza advance almost 15 years back na Tabora Boys kipindi kile ilikuwa inajikongoja.
 
Back
Top Bottom