Jamaanii kuku kamaliza debe la mahindi,karanga

mtoa mada naomba nisichangie....! naomba kutoa pongezi binafsi kwako na kwa JF.!
Lugha nzuri ambayo watoto wetu wa darasa la sita labda wawe wamekaa na "mwalimu wa twisheni" ndio angalau wafunguke macho/japo kuna mitoto imeshatuzidi umri.
lugha hizi huweza kufanya JF ikawa mtandao salama pindi umkutapo mwanao anatembelea na kuwashauri wanafunzi watembelee majukwaa mbalimbali. kwa ajilinya kupata elimu maridhawa.....HONGERA

Lakini ungenishauri tu nijuwe nifanye nini juu ya kuku huyu wakufugwa na siyo wakienyeji
 
Kuku si kuku huyo ni kweleakwelea. Kwanini ale kwako halafu mayai akatage kwa jirani! Siku hizi kweleakwelea hao wako wengi sana. Ukijichanganya tu utaombwa urushe ama umpunguzie mtama kama sio mpunga wa kutosha kila siku.
 
Jamani kuku kamaliza debe la mahindi,Niliaaza taratibu kumlushia mbegu za mahindi nilishutuka debe limekwisha ,hivyo hivyo kamaliza debe la karanga.Kuku huyu sasa kanenepa sana kapendeza sana na anavutikia kila kona anakopita.Kuku huyu kila inapofika siku ya kuliwa au kuchinjwa,utasikia kuku anaumwa tumbo,kuku ameshikwa na ungonjwa wa mafua.mala kuku anaendesha kila saaa.Kuku huyu utasikia akisema nipo mwezini, sikukuu hikifika hili aliwe kuku amekuwa anaruka kwa sababu ya mabawa yake.
Sasa waungwana na debe la mtama limefika nusu bado kuku ataki kuliwa,Tatito kubwa la kuku huyu kila asubuhi anapoamuka utasikia analalamika kuomba nimrushie mtama au nimpunguzie mtama.
Kuku huyu siku zinafika kuliwa kitoeo na kila zana zakumchinja zimeandaliwa,maji ya moto ya kumnyonyolea pia na grovis lakini kuku huyu anapotea mtaaa ataonekana jioni kuja kulala bandani kwake.?
Sasa kuku huyu ataliwa kubudu siku ikifika.

Baada ya kupata ushauri wa wadau nilishitisha kutoa mbegu kwa kuku huyo.
Wiki ikapita nikasikia kuku analalamika kudai mbegu kama alivyozoeya.
Nikazidisha ukimia,Kuku kaomba kuonana mami,nikatoa njema,kama kawaida akab nami sikukooa,
Kuku kumbe ni wakufungwa nilihisi ni wakienyeji anawezakujitafutia chakula wapi,
Kuku njaaa ikazidi,kaomba mwenye nimfaute na wapi anikute.
Nikagoma mbengu sitoe,wala sirushi,na sipigi.
Nilisoyea kumpatia karanga ,mahindi,na mtama,nikabadiri nikamtupia nikamtupia ulezi akala ta tamaaa ya kukosa mbengu,
Taratibu nilisha mwandalia theta kwa oparation, kuku akapatia hudumu takatifu.
Sasa hakuna mbegu tena kila siku kuku anataka ulezi,
Niwashukuru wote niliyotoa ushari
Ramadhan njema

mvumilivu
 
Jamani kuku kamaliza debe la mahindi,Niliaaza taratibu kumlushia mbegu za mahindi nilishutuka debe limekwisha ,hivyo hivyo kamaliza debe la karanga.Kuku huyu sasa kanenepa sana kapendeza sana na anavutikia kila kona anakopita.Kuku huyu kila inapofika siku ya kuliwa au kuchinjwa,utasikia kuku anaumwa tumbo,kuku ameshikwa na ungonjwa wa mafua.mala kuku anaendesha kila saaa.Kuku huyu utasikia akisema nipo mwezini, sikukuu hikifika hili aliwe kuku amekuwa anaruka kwa sababu ya mabawa yake.
Sasa waungwana na debe la mtama limefika nusu bado kuku ataki kuliwa,Tatito kubwa la kuku huyu kila asubuhi anapoamuka utasikia analalamika kuomba nimrushie mtama au nimpunguzie mtama.
Kuku huyu siku zinafika kuliwa kitoeo na kila zana zakumchinja zimeandaliwa,maji ya moto ya kumnyonyolea pia na grovis lakini kuku huyu anapotea mtaaa ataonekana jioni kuja kulala bandani kwake.?
Sasa kuku huyu ataliwa kubudu siku ikifika.

Baada ya kupata ushauri wa wadau nilisitisha kutoa mbegu kwa kuku huyo.
Wiki ikapita nikasikia kuku analalamika kudai mbegu kama alivyozoeya.
Nikazidisha ukimia,Kuku kaomba kuonana mami,nikatoa nje,kama kawaida akab nami sikukooa,
Kuku kumbe ni wakufungwa nilihisi ni wakienyeji anawezakujitafutia chakula wapi,
Kuku njaaa ikazidi,kaomba mwenye nimfaute na wapi anikute.
Nikagoma mbengu sitoe,wala sirushi,na sipigi.
Nilizoea kumpatia karanga ,mahindi,na mtama,nikabadiri nikamtupia ulezi akala kwa tamaaa ya kukosa mbengu,

Kwenye njaa hakuan ujaja,
 
Back
Top Bottom