BRO LEE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2011
- 826
- 600
Wanawake wanavutiwa zaidi na wanaume wawajibikaji/wanaoweza kubeba majukumu jambo ambayo jamaa anaonekana kutokuwa nalo, inawezekana mwanamke huyo c kwamba anataka kumbwaga jamaa bali anataka jamaa aelewe kwamba anatakiwa kujishughulisha na c kuwa tegemezi.