Jama nina HKL je naweza chaguliwa kidato cha tano

sichela

Member
Feb 23, 2014
15
2
Jama naomben mnisaidie mm nina Histor c,kiswahl b na englsh c ila nina four ya 32.Je naweza kuchaguliwa kidato cha tano
 
Huwezi kuchaguliwa ila una sifa za kuendelea na kidato cha tano. Nenda shule ya private.
 
unaenda FV dogo tulia!kinachoangaliwa si division bali ni kubalance kwa combination.kuna watu huwa wana three lkn kombi hazikubalance wameachwa!
 
Je mwenye four ya 27 anaweza ana C ya kiswahil na English na D nne na F moja je form five private anaweza kuchukuliwa au chuo cha ualimu
 
Back
Top Bottom