mbona wewe sio mstaarabu? Kwanza iyo history umedanganywa wapi?Sifa ya Kwanza ya Kikwete ni Mswahili. Waswahili ni watu wa pwani ya Afrika Mashariki na lugha yao mama ni kiswahili, Bwagamoyo ni moja katika machimbuko ya Waswahili. Sifa kuu ya Waswahili ni ustaarabu wao ulioanza kabala ya wengime wote waliotoka bara, bara kwa maana mbali na bahari. Utamaduni waliokuwa nao Waswahili uliwashngaza hata wazungu wa kwanza waliotua pwani ya waswahili (si vasco da gama, vasco hajashuka pwani aliishia melini). Wazungu walishangaa, walipofika Kilwa wakakuta majumba ya ghorofa, mtawala wa kiswahili, sahani za chaina, nyumba zina rangi ambapo hata huko walikotoka walikuwa hawajui rangi ni nini. Kanzu za lasi na magauni ya hariri, ambapo hata huko walikotoka walikuwa hawajui hariri wala lasi. Washenzi (wabara) waliostaarabishwa na Waswahili leo hii hawawezi wakamsifu Kikwete kwa sababu tu, yu Mswahili.
Nani Kama Kikwete?
mbona wewe sio mstaarabu? Kwanza iyo history umedanganywa wapi?
I doubt whether the other two presidents in East Africa can call a Press conference and encourage journalists to ask them questions they feel like asking in full public view (Television) without fear of retribution and scathing, scalding criticism.... Mr. Kikwete is a man of action and a person who is out to effect changes in the country the Tanzanian electorate served him on a silver plate.
Sifa ya Kwanza ya Kikwete ni Mswahili. Waswahili ni watu wa pwani ya Afrika Mashariki na lugha yao mama ni kiswahili, Bwagamoyo ni moja katika machimbuko ya Waswahili.
Sifa kuu ya Waswahili ni ustaarabu wao ulioanza kabala ya wengime wote waliotoka bara, bara kwa maana mbali na bahari. Utamaduni waliokuwa nao Waswahili uliwashngaza hata wazungu wa kwanza waliotua pwani ya waswahili (si vasco da gama, vasco hajashuka pwani aliishia melini).
Wazungu walishangaa, walipofika Kilwa wakakuta majumba ya ghorofa, mtawala wa kiswahili, sahani za chaina, nyumba zina rangi ambapo hata huko walikotoka walikuwa hawajui rangi ni nini. Kanzu za lasi na magauni ya hariri, ambapo hata huko walikotoka walikuwa hawajui hariri wala lasi.
Washenzi (wabara) waliostaarabishwa na Waswahili leo hii hawawezi wakamsifu Kikwete kwa sababu tu, yu Mswahili.
Mie natumia maji, wewe Jee?
hicho kiatu cha kichina au ni 'original cracks"!?
watu kama wewe huwa hamkosekani kubeza jitihada za mheshimiwa raisi......unajua tangu kaingia ni kilomita ngapi alizojenga kiwango cha lami...
watu kama wewe huwa hamkosekani kubeza jitihada za mheshimiwa raisi......unajua tangu kaingia ni kilomita ngapi alizojenga kiwango cha lami...
nimecheka sana.....lakini kwenye nyekundu kamwe haiwezekani labda ungesema ni mtarii wa kimataifa kwanini kama angekuwa raisi wa dunia angekuwa na sauti huko anakokwenda lakini kwa sababu ni mtarii tu hana ubavu huo.....Actually Mr. Kikwete is an international president.....yeye hana nchi kamili, nchi yake ni ya kufikirika....na kazi yake kubwa ni kutembelea nchi nyingine....ametembelea Marekani, South Africa, Tanzania (hii anapenda kuitembelea sana) na Nchi nyingine nyingine.
nitakushangaa sana ukiendelea kujibishana na yo yo au hujui kwanini kaleta bandiko hili....lolhakuna lolote hapo. Anapenda low profile popularity. Nchi imemshinda ndo maana anajionyesha ovyoovyo. Wasanii si maendeleo yetu kwani wakati angombea urais alinadi kukutana na wasanii wengi kadiri awezavyo?
Hicho si kipaumbele cha watanzania ni chake binafsi
Hapa alikuwa akicheza "pembe la ng'ombe"............................ ah! Kikwete weeeeee!!!!!
Huyu jamaa alitakiwa kuwa afisa utamaduni wilaya....bisheniRaisi wetu anapenda utamaduni