Jakaya Mrisho Kikwete: Rais mwenye kipaji na usikivu

CHADEMA pekee ndio itatutoa kwenye umaskini,
hivi UDOM waki-graduate kila mwaka hadi 2015 wataajiriwa wapi na hii SISIEMU?
Kilichopo ni full kudai haki hadi kieleweke!
Nakubaliana na kauli ya Mdee @ all but not SISIEMU
 
jk-makete-1.jpg


Nani Kama Kikwete?

Hapa kwenye picha ni yale mambo yetu ya kupiga mweleka au ni voluntary action?
Manake huyu Jamaa kwa kuanguka anguka hajambo.....
 
mkuu chunga mabandiko yako pls.....hizo kauli mkuu wa nchi mwenye kipaji na usikivu kwa wananchi wake kama JK hawezi zisema...ni propaganda za magazeti na wapinzani wasiokuwa na shukrani hata kwa kile anachokifanya Mhesh Rais

You must be in denial!
 
rais_kikwete_kwa_waathirika_mabomu.JPG

2.JPG

mgonjwa.jpg

Rais JK anapenda sana sana kutembelea Wagonjwa wa kada zote bila kujali ni Kiongozi au ni Mwandishi...Nani kama JK.
 

Attachments

  • IMG_7411.jpg
    IMG_7411.jpg
    25.7 KB · Views: 40
CHADEMA pekee ndio itatutoa kwenye umaskini,
hivi UDOM waki-graduate kila mwaka hadi 2015 wataajiriwa wapi na hii SISIEMU?
Kilichopo ni full kudai haki hadi kieleweke!
Nakubaliana na kauli ya Mdee @ all but not SISIEMU
 
Raisi mtukuka sana jakaya kikwete Ph.D anazidi kuvuna sifa nzuri na zenye kupendeza toka kwa wnanchi wake anaowatawala.....shime tuungane na muheshimiwa raisi Jakaya Kikwete PhD kuendeleza taiofa hili na kukamilisha ahadi alizotoa ambazo kwa sasa 80% ya ahadi amezikamilisha.....
8D6U1674.JPG
 
Actually Mr. Kikwete is an international president.....yeye hana nchi kamili, nchi yake ni ya kufikirika....na kazi yake kubwa ni kutembelea nchi nyingine....ametembelea Marekani, South Africa, Tanzania (hii anapenda kuitembelea sana) na Nchi nyingine nyingine.

nimeipenda sana hata mimi hapo ndo napompendea JK. MAY GOD LEAD HIS WAY
 
Tuache utani Kikwete anapersonality ya kipekee....I only wish the same to be reflected in the tz economy
 
Wakuu tuwekane wazi, ni JK yupi mnajadili hapa!? "Sijui kwa nini watanzania ni maskini". Mwenye kauli hii au?? Kama ndiye, ulieleta huu uzi unatakiwa ufungwe kamba mikono na miguu kabla hali yako haijawa mbaya zaidi!!
 
Bado natafakali kauli ya Jakaya kuwa hajui mmiliki wa Richmond wala Dowans. Inawezekana hajui Kama yeye ni rais, majeshi yote ya ulinzi na usalama yako chini yake, TISS, police, TPDF na hata ulinzi usionekana. Pamoja na kupata briefing bado hajui kinachofanyika nchini hata Kama kinamadhara na uchumi wetu. Tuwe makini na viongozi wa kutengenezwa nakumbuka 2005 gazeti moja liliandika "nyota mpya yang'aa JK mpya azaliwa. Lingine tumaini jipya kwa Watanzania JK ! Tulilishwa sumu kumbe Jakaya huyo huyo hajui kwanini Tanzania ni maskini. Mwaka 2015 tusipewe mwizi na mtu wa Rushwa AMA aliyenaharufu ya kukosa uadirifu
 
Back
Top Bottom