Elections 2010 JAKAYA KIKWETE: utakomaa lini?

miaka sita, saba kasoro

mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma

ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?

unairudisha nyuma mwenyewe kwa kujibwetekesha na kusubiri chakula uletewe mpaka mdomoni kwako. Na ukiendelea hivo mbona milele utalalamika njaa. Halafu ivi ulimpa kura yako? Mbona unakaa una muandika andika? Nyie simnasema raisi wenu ni slaa basi muulize uliyempa kura yako.
 
Ameshakomaa kwa nafasi yake, akizidi hapo atakatika! ndio maana anauthubutu wa kuwavua magamba/makobe ya CCM, sasa hapo mnataka ukomavu gani?
 
unairudisha nyuma mwenyewe kwa kujibwetekesha na kusubiri chakula uletewe mpaka mdomoni kwako. Na ukiendelea hivo mbona milele utalalamika njaa. Halafu ivi ulimpa kura yako? Mbona unakaa una muandika andika? Nyie simnasema raisi wenu ni slaa basi muulize uliyempa kura yako.

nani anajirudisha nyuma?

Watanzania wanakufa huja jamaa hajiamini na anachoongea akiongea leo kesho anasahau
 
Sijawahi kuona uongozi usio na nidhamu kama wa Kikwete, viongozi waliopo nadhani ni viwete wa mawazo kama boss wao alivyo. Eti Jerry Slaa anamkoromea Magufuli na watu wanashangilia...strange. Badala ya kupiga risasi wezi kama Lowassa na Chenge na ********* Rostam wao ndiyo kwanza wanawasifia na kuwapa kazi vibaraka wao akina ....Nimechefuka!!!!!!!!!!!!

hapo kwenye nyota embu andika tena kwa ubunifu wa kuacha space eg. ****** inakua mkwèré au m k were.
 
Miaka sita, saba kasoro

Mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma

Ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?


Ameingia with no plan for the nation: amefanikiwa kufanya usanii-kujilimbikizia mali, na mipasho na anaondoka with no accountability. This is only possible in Tanzania
 
Back
Top Bottom