Julius Malema Jr
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 653
- 155
hii ni nchi ya vyama vingi toka 1992 so vyama vya upinzani kufanya mikutano si fazila kikatiba na wanapewa ruzuku kuptia kodi zetu kama ccm inavyopata kuptia kodi zetu...nguvu ya chadema isikutshe ni uzembe wa ccm ndio unawaimarsha chadema unafkiri ccm ingehakksha madini na gesi znawanufaisha watanzania upinzan ungepata nguvu?watanzania wamechoka wanataka mabadiliko...leo hii nusu tu ya madini yanayoibiwa barick..Tanzanite one..GGM na kwa siku ingetosha kusomesha watanzania wote bure ad vyuo vkuu ila zmegeuka mali za wachache kila ktu kna mwsho na ndio huu umekarbia...msiotaka mabadiliko mjiandae kisaikolojia cz mikataba yote mibovu lazma ipelekwe bungen ikavunjwe inufaishe watanzaniaww unataka kikwete afanyaje sasa....umesikia tupo kwenye utawala wa chama kimoja....in democracy no one is above the rule