Senseless
Ni miongoni mwa hoja za kijinga kabisa zilizowahi kuwekwa hapa JF!
Senseless
Kwa hiyo kama angempumzisha angefanya unyama.........hahaha!Mawazo yako hayo tuishie hapo.Nawaza sana hivi km wakati ule Mwandosya angeachwa kwenye Baraza la Mawaziri leo hii ingekuwaje? Kdg nitoe machozi siku ile Mwandosya anaapishwa na kubakishwa kwenye Baraza. Ingekuwa Raisi mwingine pengine angempuzisha ili aendelee na tiba. Raisi Kikwete aliona tiba ya Mwandosya ni kumbakisha barazani. Ni ubinadamu wa hali ya juu kwa kweli!
Kwa hiyo kama angempumzisha angefanya unyama.........hahaha!Mawazo yako hayo tuishie hapo.
Kwani JK ni jaji?
ni lini na wspi kikwete aliwapeleka wakina nguza Viking segerea ...wabongo mnaweza kukomalia uzushi mpk ukawa ukweli
Najua utasema mimi ni zao la.shule za kata KIUKWELI KABISA sijakuelewakama baba unaweza kudelegate powers zako kwa mtoto au mama depend na uzito wa jambo!!there4 c lazima awe jaji bt indirect..... hope u will fill yourself.
Inaonekana Umepotea Njia.Hizo Ni Sifa Za Mtu Dhaifu Anayependa Mzaha.Matokeo Yake.....Epa Richmond Dowans Escrow...
unajitekenya harafu unaangua kicheko kikukbwa, hongera
Wakuu,
Zinaweza kuwa ni sifa zinazopelekea haiba nzuri ama mbaya lakini ukweli ni kwamba Rais Kikwete ni miongoni mwa watu wanaoonekana kuwa na roho fulani ya upole, huruma na ubinadamu.Ni mtu ambaye huwa hawezi kununa asiye na jazba na asiye panic hata kama akikubwa na changamoto kubwa kiasi gani. Ni mtu anayeweza kuthibiti hasira na kuwa mtulivu anapofanya maamuzi au kuzungumza na watu.Kadhalika ni mtu anayependa kujishusha kiasi kwamba laiti lisingekuwa ni suala la itifaki, mtu angeweza asifahamu kama yeye ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini.Sifa hizi zaweza kuwa ni mbaya au nzuri kulingana na mtazamo wa mtu, hata hivyo uzuri au ubaya wa sifa hizi si mjadala wa msingi kwa hapa.
Ni ukweli Uliowazi, kwamba kiongozi mwingine mwenye Tabia na haiba kama hizo hapo juu, ni Mh. Bernard Membe. Kwa maana hiyo basi, wale wanaofikiri kwamba sifa hizo hapo juu ni njema na pengine kwao ni sababu inayowafanya wamuunge mkono Rais Kikwete, kwa vyovyote vile Watakuwa wanampenda Mzee membe vile vile na itakapowapasa kumuunga mkono, basi watafanya hivyo, na wale watakaokuwa wanamchukia kikwete kwa tabia zake tajwa hapo juu, bila shaka watakuwa wanamchukia Membe vile vile.
Hata hivyo kuna hoja kuwa, Tanzania kwa sasa haihitaji rais mpole mwenye roho ya huruma kama Kikwete, bali rais Mkali anayeweza kucheza show za Kibabe kila panapostahili. Bila shaka wale wenye mtizamo huo watakuwa wanawakubali watu kama akina maalim Dr. Magufuli na anko. Sitta. Si mnakumbuka alivyoliendesha bunge la katiba! tehe! tehe! tehe!
Tanzania mwenye akili wewe tu.Udhaifu unapoitwa Upole. Only in Tanzania.
Tanzania mwenye akili wewe tu.
Kagame alituita Wafu, David Cameroun alituona wanaume tunafaa kuolewa.
basi hongereniK wanaume tunaridhika tu. Sasa kuna tofauti gani na wanaoolewa?