Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,785
- 13,571
Una Stress mbaya mno ondosha Kwa chuki iliyopo ndani ya nafsi yako ili ubaki mwema kama ulivo.Kinachokusumbua ni chuki iliyopo ndani mwako.ukitaka kujua kwa nini wanazima umeme na kutesa watu au kwa nini watoto albino hawakuwa protected na walitekwa kuuliwa na kukatwa viungo angalia tu matendo ya watawala wetu, hata umeme upo na na wanakata makusudi sababu ya matambiko, nina uhakika kwa 100% raisi mstaafu kikwete hakumpeleka ridhwani unyago kama alitairiwa alimpeleka hospitalini na nina uhakika kama ridhwani ana mtoto hakumpeleka unyago bali hospitalini and the question is kama unyago ni mzuri kwa nini wao wasipeleke watoto wao kwa nini utamaduni uenziwe na wengine tu?
nchi hii adui mkuu wa maendeleo ni uislamu wa tanzania ambao aidha haueleweki na wajiitao waislamu au wenyewe ni tatizo lkn mara nyingi uislamu hauwezi kuwa na tatizo kwani umetumika jamii nyingine kuleta maendeleo na ustaarabu hivyo tatizo ni waislamu wa tanzania na watu aina hii tunategemea watuvushe 20th century kweli?