Jaji Werema Umenichekesha . . .

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,175
Vichwa hivi tunavyo, tunavitumia kufikiri si kufuga nywele lol

aisee, alikuwa akimjibu Lissu.

Napenda mipasho jamani, hivi wazazi si wangenisomesha taarabu tangu nikiwa pureimari saa hivi ningekuwa namzidi Mzee Yusufu?
 
Kongosho mbona hivyo hili jibu lili nisabibishia stress leo mchana, nili kereka sana nilipo kuwa jukwaa la siasa, sasa umelileta huku.

Huyu jamaa ni zaidi ya mzee yusuph!

Kongosho naomba hii hoja hisijadiliwe hiko mahakamani.
 
Hilo sakata nilikua nalifatilia hatua kwa hatua.
Btw sikuridhishwa sana na Yustino Job , kuifanyia uzito hoja ya Tundu hasa ninapoiwazia ililenga kujadili Tragedy ya kuzama meli .
 
Mkuu Kongosho funguka basi! Nadhani unayo mengi ya kumwaga hapa jamvini kuhusiana na saga hili la Werema. Funguka p'se.
 
mahakama gani?

Wakati jaji mwenyewe huyo hapa analia lia nimsamehe?

Kongosho mbona hivyo hili jibu lili nisabibishia stress leo mchana, nili kereka sana nilipo kuwa jukwaa la siasa, sasa umelileta huku.

Huyu jamaa ni zaidi ya mzee yusuph!

Kongosho naomba hii hoja hisijadiliwe hiko mahakamani.
 
hapa hatujadili mipweint hiyo, hapa niko kimipasho zaidi.

ujanja wa mbwa kulala kwenye majivu.

Hilo sakata nilikua nalifatilia hatua kwa hatua.
Btw sikuridhishwa sana na Yustino Job , kuifanyia uzito hoja ya Tundu hasa ninapoiwazia ililenga kujadili Tragedy ya kuzama meli .
 
Werema alifikiri anamtukana Lissu kumbe anajitukana mwenyewe haaaaah mbele ya wananchi.
 
wameniweka kitengo gani??

Kama cha propaganda naenda ila kama cha kuchalenji bajeti sitaki.

Nimeshanunuliwa.

Haaaah Kongosho wewe si una mwaliko wa babu ODM kule huku ubafanya nini tena na kitengo chako nasikia hakina substitute!!!!
 
Last edited by a moderator:
wameniweka kitengo gani??

Kama cha propaganda naenda ila kama cha kuchalenji bajeti sitaki.

Nimeshanunuliwa.

kwa mamlaka niliyo pewa nikiwa kama naibu spika na waomba askari wabunge wakukamate ni kukute chumbani kwangu au utolewe nje ya bunge na kunyimwa posho kwa kosa la kujadili hoja hiliyo mahakamani

sasa hapo unachagua adhabu gani mh kongosho?
 
Yaani bwana Yusto na werema ni cream ya taifa! These guys are exceptionally intelligent. mwenye akili keshajua wakoje. Life is full of suprises.....
 
Vichwa hivi tunavyo, tunavitumia kufikiri si kufuga nywele lol

aisee, alikuwa akimjibu Lissu.

Napenda mipasho jamani, hivi wazazi si wangenisomesha taarabu tangu nikiwa pureimari saa hivi ningekuwa namzidi Mzee Yusufu?

We nawe kwa kutaka kuharibu mfungo? Haya nambie, hiyo Werema ndio futari gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom