JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,022
..
..waliachana na mambo ya submission kwasababu Jaji hataki.
..hukusoma kwamba Jaji aliuliza kwanini utetezi wanataka kufanya oral submission baada ya jamhuri kufunga ushahidi?
..nadhani Jaji anaogopa oral submission ya utetezi itakwenda kufanya uamuzi wake wa kuwadhulumu watuhumiwa kuwa mgumu na kuonekana sio wa haki.
Kule chamber wanakoitana huwa wanaongea kwa uwazi kabisa, prosecutor anaweza akaulizwa hadi hapa wewe unaona ume establish kesi ya kujibu? Wanafanya hivyo ili kurahisisha procedures zinazofuata.
Unaona jana akina Kibatala walipotoka chamber wakaachana kabisa na suala la submission wakati ilikuwa muhimu sana kwao