Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

Serikali inaingilia uhuru wa mahakama - Jaji mkuu. Haya ndio matokeo yake.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Juzi nilikuwa kwa rafiki yangu kiongozi wa juu sana serikalini akanihakikishia kwamba Tundu Lissu,Mnyika,na Godbless watapigwa chini
Kila mtu anakuja na gia yake mara nimeongea na polisi, mara mtu wangu wa karibu kaniambia, mara... mnajiridhisha tu, kile kipigo cha juzi si cha kawaida lazima mtafute mbinu ya kujiliwaza. Hata hivyo whatever, CCM si wajinga kiasi hicho wanajua kabisa hata wakirudia mara kumi Arusha hawashindi, kama wanataka kujifurahisha kwa miezi michache wajaribu lakini ndio wanakifanya CDM kizidi kufanya kampeni na kionekane kinashinda kila chaguzi ndogo.
 
Nimesema mahali pengine watu mnawapa credit sana ccm kiasi kwamba hata kutishia hawajaribu tena wanahitaji kurusha majina mawili matatu na watu wanakuwa wanyonge ghafla. Lema anaendelea kuwa mbunge kesho hakuna cha Lowassa wala shemeji yake Lowassa. Anayetaka kusherehekea aanze tu sasa.

Acheni kuwapa ujiko hivyo!
 
Bongo bana! Nasikia, nimeambiwa na jamaa yangu, kuna tetesi, kuna mchakato etc etc. Ndio maana Wakenya wanatudharau shauri ya maneno mengi vitendo hewa! Jaji kala rushwa, as if ilitangazwa redioni. Kama judge akibatilisha matokeo kuna court of appeal na huko ikishindikana kuna mahakama kuu kuliko zote- people. Watarudi kwenye sanduku la kura na hiyo ni free advetisment kwa CDM kwa kipindi chote cha campaign kuendelea kujulikana.As a matter of fact is not the best interest kwa CCM kama Mh Lema ataangushwa
The only question niliyo nayo ni timing ya hukumu na uchaguzi uliomalizika. Isije kuwa imeamriwa hivyo kuwaachia CDM Arumeru na kumchomoa Lema.
 
Nimesema mahali pengine watu mnawapa credit sana ccm kiasi kwamba hata kutishia hawajaribu tena wanahitaji kurusha majina mawili matatu na watu wanakuwa wanyonge ghafla. Lema anaendelea kuwa mbunge kesho hakuna cha Lowassa wala shemeji yake Lowassa. Anayetaka kusherehekea aanze tu sasa.
!

Juzi Arumeru umeniharibia kwaresima yangu, sasa unarudia = My poor liver!
 
Nimesema mahali pengine watu mnawapa credit sana ccm kiasi kwamba hata kutishia hawajaribu tena wanahitaji kurusha majina mawili matatu na watu wanakuwa wanyonge ghafla. Lema anaendelea kuwa mbunge kesho hakuna cha Lowassa wala shemeji yake Lowassa. Anayetaka kusherehekea aanze tu sasa.

Acheni kuwapa ujiko hivyo!

Heshima mbele MMM.
Hata mimi nimeliona hilo, watu wanampa Lowasa nguvu asizo nazo kabisa. Kama ameshindwa kumtetea mkwewe ataweza kimada. Lowasa is nothing but a puppet in our country.
 
:nono:
Kama EL na huyo James Millya wangekuwa hizo nguvu, yafuatayo yasingewezekana siku za nyuma
1) Sioi Sumari asingeangukia pua juzi
2) James Millya asingeangukia pua kwenye ile kesi ya kuwashwa kofi na Sendeka hadi kuzimia kwa saa
3) James Millya asingeangukia kisogo kwenye harakati za Bunge la Afrika Mashariki!

Hizi ni stori za kupandisha bia na wao kujifariji kwa anguko lao.
 
Mkuu, ua very rite! Mleta mada anaota ndoto ya mchana, kwa jinsi kesi ilivoendeshwa hakuna ushahid wa kumtia lema hatian. So ki2 kama hicho hakiwezekani.
Hata huyo jaji angejarib kufanya hivyo he is not the final say, there is court of appeal.
 
Huyu gamba nae ati keshalewa then anaanza porojo anafikiria inakuwa rahisi kwa Lema kungolewa kesi yenyewe ndio ile ya kuunga unga,Nafahamu Bongo sheria nzuri tu zipo sema wanazipindisha lakini kwa kesi ile hata kama sifahamu sheria lakini jioni ya tarehe 5 mwezi huu wewe gamba uliyeandika hapa utaniambia ulikotoa hii habari kama ni huko kwenye pombe zenu za gongo au wapi you will tell me, u son of the beach
 
Yani huyu member (Naloli) mleta thread kama si mamluki anaweza akawa ni kwmb ana damu ya ufisadi kwa 85%
Nasema hivyo kw sbb wakati kesi inanguruma wewe Naloli ulikuwa wapi?

Ukashindwa hata kuwauliza hao mafisadi maswali mawili toka kwa wale mashaidi feki wa kifasadi?

Ama umevamia jukwaa ambalo sio la kwako?
Naweza kusema wewe hakika umetumika kwa asilimia tajwa hapo juu!

Na kama we si mamluki,naomba hiyo kesho njoo pale mahakama kuu na uje ushuhudie yajirio uweze kuwafikishia hao mafisadi!

Mageuzi ni sasa na kama si sasa ni sasa hivi!
Hakuna lisilo wezekana!

Wao wana pesa! Sisi tuna MUNGU aliye hai!
Mageuzi hakika yanawezeka!

Pamoja Daima!

Mamluki hawapendizi humu jamvini!

Nina hofu Naloli ni fisadi at work! Ila humu jamvini ni Makamanda wamo flu!!
Naloli fikisha salaam hivyo!

Pamoja Daimaaaaa!!!!

EL+ MILLYA ni JANGA kwa Taifa na Mkoa wetu!
Mwisho wao waja HAKIKA!!!!
 
Atajiabisha sana huyo Jaji kwa sababu hiyo kesi hata asiye kuwa Jaji anajua hakukuwa na kesi yeyote kwa sababu ushaidi ulipishana mno kati ya mashaidi hakuna hata mmoja aliyethibitisha yale waliodai
Juzi nilikuwa kwa rafiki yangu kiongozi wa juu sana serikalini akanihakikishia kwamba Tundu Lissu,Mnyika,na Godbless watapigwa chini

hawa jamaa ni afadhari kuwa bungeni kuliko kuwa mtaani!
 
Hakuna haja ya kuandikia mate wakati wino upo. Ngojeni hukumu na muone vipengee vitakavyofikia huo wasi wasi wenu kama vinafaa kisheria ua vinginevyo. By the way, lolote linawezekana Lema akaendelea kuwa mbunge. Je asipotupwa nje mtasema jaji amehongwa?
 
........kama issue ni Lema asiwe mbunge, well and good. lakini serikali itapoteza bure fedha kwa ajili ya uchaguzi wa Arusha, yet magamba hawawezi kukomboa hilo jimbo. period!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Hata kama hukumu itatolewa na Lema kuonekana kuwa ana hatia bado uchaguzi ukirudiwa CDM itashinda tu
 
Mods funga hii thread, huku ni kuingilia uhuru wa mahakama.

Pamoja na kuwa tuna uhuru wa kuongea na wa kutoa maoni lakini uhuru huu una mipaka. Hapa ni kuvunja sheria kuanza kucomment kuhusu kesi inayoendelea.
 
Vinywaji vingine huwa vinawapa watu ujasiri wa kuonge.
Tar. 5 ni kesho tu
 
Kuna watakaoukimbia mji na wasirudi milele endapo Judge atacheza faulo hiyo Kesho.
Mitaa ya uzunguni kesho itafurika tokea asubuhi kumi na mbili mpaka Hukumu.
Lema ni mbunge halali tuliemchagua.
 
Back
Top Bottom