Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

Elimu zenu hizi za kuwaimarisha kwenye matusi huku mkikosa uwezo wa kuelewa concepts rahisi wala kujenga hoja, inahitaji marekebisho Makubwa sana pale UKAWA itakapoingia madarakani.

Masuala ya kitaifa, yanayogusa maslahi mapana ya jamii, hayawezi kuendeshwa kwa misemo ya wasemavyo au mipasho. Ndiyo maana kuna katiba ya nchi. Huwezi kulazimisha watu wenye akili wafuate unachotaka kuwaaminisha ambacho kimetokana na lugha za mitaani, misemo ya vijiweni na muono wa wenye akili fupi, eti ndio utaratibu uzingatiwe kwenye chaguzi.

Ukiwe mfupi sana, uko katikati ya watu warefu, unataka wakuone unaposema, unahitaji kupanda juu ya meza, kisha usimame. Refusha kimo chako bwana mdogo!.

Usisahau kuwaambia na wenzako kwamba Babu Tabby anawatakia ukweli mwingi pasipo pressure wala udanganyifu!.

Usiwe unakurupuka kusoma, tuliza kalio, nimesema WASEMAVYO.
Povu la nini.
 
rizone ni nani...!? Anaishi wapi..!? Au yule mtoto wa jk..!? Don't waste ur valuable time, energy and ability to discuss him, sbb nae hafai kuwa kiongozi...!!! Uongozi sio uswahili swahili...!!! Nasikia ndio tajiri mkuu tz..!?at that age kapata wapi mali zote..!? El akiingia kama kweli anamiliki mali nyingi hivyo zooote zitarudi serikalini...!!!
nyani na ngedere wana tofauti?
 
Ukiongelea hekima, busara na uadilifu na weredi tu basi Judge Augustino Ramadhani is the right candidate. Huyu hana tofauti na Salim Ahmed Salim kwa sababu ni watu wa aina moja ile ile. Yaani kwa kifupi ni mtu aina ya Salim Ahmed Salim.
Ila swali linalokuja hapa, je kwa hali ilivyo Tanzania hii leo na kwa dunia inavokimbia kimaendeleo na kwa mustakabali wa Tanzania tunayoitaka huko mbele do we need such kind of a person??? Yaani mwenye hekima,busara, uadilifu na weredi tu????
Jibu langu ni hapana kwa sababu kwa hali ilivo Tanzania ya leo na kwa dunia inavokimbia kama upepo tunaitaji mtu serious na mwenye haiba ya ukali na mwenye maono fulani juu ya kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Tunaitaji mtu mkali wa kusema hili sitaki, fanya hivi, hakuna siasa wala tantalila na watu wafanye kazi. Hatuitaji mtu mpole na wa kupembeleza aina ya Jaji Ramadhani au Salim Ahmed Salim.
Watu wa aina hii wanatakiwa kuwa maraisi kwenye nchi kama CHINA au VIETNAM au THAILAND ambapo tayari kuna mifumo imara ya kusimamia uwajibikaji, ambapo mindset za wananchi wao zipo kikazi tu na sio kupika tantalila na kuweka siasa kila eneo. Nchi ya Tanzania ipo kama nchi nyingine za kiafrika ambapo effectiveness ya serikali na mfumo inategemea sana aliye juu ni mtu wa aina gani na ndo mana leo mnaona Rwanda inapanda, na ndo mana Libya ilikuwa juu kipindi cha ghadafi na baada ya ghadafi kuondoka imebaki kuwa bora ya jana kuliko leo. Na ndo mana watu wengi wasomi leo hii wanamponda kikwete, hii ni kwa sababu sio kwamba kikwete ni mtu mbaya hapana ila kwa jamii ya watanzania na mfumo wake ulivo hakustahili kuwa raisi kutokana na haiba yake.
Inawezekana Jaji Augustino akapitishwa na CCM ila kusema kweli ataitaji kuadopt atleast style na haiba ya Prof Muhongo au hata Magufuli ili tuweze kufika huko tunakotaka kufika. Vilevile ataitaji waziri mkuu strong na mwenye maono kama Prof Muhongo ili at least serikali yake ifanye vizuri.
Inawezekana ikawa ni zamu ya Zanzibar saivi kwa sababu ya huu Muungano na kuutuliza upande wa pili( hiki ni chungu cha moto tulichokikubali wenyewe). Ila nasema tena kama nilivosema kwenye post zilizopita huu ni wakati wa kusali sana kwa wale wote wanaoiwazia mema Tanzania ijayo kwa sababu watia nioa ni wengi ila kwa Tanzania nzuri tuitakayo huko mbeleni, nitabaki kuamini kuwa so far sio upinzani na sio chama tawala ni Prof Muhongo tu ndo anayeweza kutuweka kwenye njia hiyo na kutufikisha huko.

97% right lod
 
Last edited by a moderator:
Jaji Agostino Ramadhani kuchukua fomu ya kuwania Urais, akiandika katika ukurasa wake wa Instagram na twitter Ridhiwani kikwete ameandika hivi.

Mchakato unanogeshwa zaidi na Muadilifu, Mchungaji na Nguli katika Fani ya Sheria Le Afande Brig. Mstaafu Augustino Ramadhani. Hii ndiyo Ccm Bwana. #TuamueWatanzania2015

View attachment 261058

haya sasa Mambo tayari....huyu hapa akiwa ndani ya kijani...

Kwa CCM ilipofikia, hata aje Malaika haitakweza kuwa safi tena.

Namsikitikia Mchungaji wangu, maana anaenda kuoga matope maana hataweza kamwe kuibadilisha CCM.

VV
 
Elimu zenu hizi za kuwaimarisha kwenye matusi huku mkikosa uwezo wa kuelewa concepts rahisi wala kujenga hoja, inahitaji marekebisho Makubwa sana pale UKAWA itakapoingia madarakani.

Masuala ya kitaifa, yanayogusa maslahi mapana ya jamii, hayawezi kuendeshwa kwa misemo ya wasemavyo au mipasho. Ndiyo maana kuna katiba ya nchi. Huwezi kulazimisha watu wenye akili wafuate unachotaka kuwaaminisha ambacho kimetokana na lugha za mitaani, misemo ya vijiweni na muono wa wenye akili fupi, eti ndio utaratibu uzingatiwe kwenye chaguzi.

Ukiwe mfupi sana, uko katikati ya watu warefu, unataka wakuone unaposema, unahitaji kupanda juu ya meza, kisha usimame. Refusha kimo chako bwana mdogo!.

Usisahau kuwaambia na wenzako kwamba Babu Tabby anawatakia ukweli mwingi pasipo pressure wala udanganyifu!.
Una matatizo, unashindwa hata kutambua kuwa una mapungufu kichwani.
Kwamba mtu yeyote ambaye atajaribu kuona mtu "msafi" angalau wa upande ambao sio wako, basi huyo si UKAWA! unasikitisha,
By the way, sina chama, sio SIO sisiemu waliooza wala sio ukawa ambao hawajui wanataka nini.
Ila kama mtized, nikiona mtu anayeniridhisha, nitamsapoti!
 
Alishirikiana na Warioba kuandika rasimu ya katiba iliyotokana na wananchi na kupendekeza serikali tatu ( CCM inamuona Warioba, Salim na Ramadhani niwasaliti katika hili). Je atavuka kihunzi hiki kwa wana CCM wenzie? bado wanaonekana walitaka kuvunja muungano. Time will tell
 
Kiherehere cha hicho kitoto, hatakama anafaa katamwaribu kwani hatutaki kusikia tena mdomo kama huo tumechoka.why other son's and daughters of the other formal presidents are quite,prudent,meraviglia, awesome, calm without any side or word but you always in edge mouth. Are you the one to choose for our mother land Tanzania. Please you can eager the other son's and daughters of the former presidents take care.
 
Ukiongelea hekima, busara na uadilifu na weredi tu basi Judge Augustino Ramadhani is the right candidate. Huyu hana tofauti na Salim Ahmed Salim kwa sababu ni watu wa aina moja ile ile. Yaani kwa kifupi ni mtu aina ya Salim Ahmed Salim.
Ila swali linalokuja hapa, je kwa hali ilivyo Tanzania hii leo na kwa dunia inavokimbia kimaendeleo na kwa mustakabali wa Tanzania tunayoitaka huko mbele do we need such kind of a person??? Yaani mwenye hekima,busara, uadilifu na weredi tu????
Jibu langu ni hapana kwa sababu kwa hali ilivo Tanzania ya leo na kwa dunia inavokimbia kama upepo tunaitaji mtu serious na mwenye haiba ya ukali na mwenye maono fulani juu ya kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Tunaitaji mtu mkali wa kusema hili sitaki, fanya hivi, hakuna siasa wala tantalila na watu wafanye kazi. Hatuitaji mtu mpole na wa kupembeleza aina ya Jaji Ramadhani au Salim Ahmed Salim.
Watu wa aina hii wanatakiwa kuwa maraisi kwenye nchi kama CHINA au VIETNAM au THAILAND ambapo tayari kuna mifumo imara ya kusimamia uwajibikaji, ambapo mindset za wananchi wao zipo kikazi tu na sio kupika tantalila na kuweka siasa kila eneo. Nchi ya Tanzania ipo kama nchi nyingine za kiafrika ambapo effectiveness ya serikali na mfumo inategemea sana aliye juu ni mtu wa aina gani na ndo mana leo mnaona Rwanda inapanda, na ndo mana Libya ilikuwa juu kipindi cha ghadafi na baada ya ghadafi kuondoka imebaki kuwa bora ya jana kuliko leo. Na ndo mana watu wengi wasomi leo hii wanamponda kikwete, hii ni kwa sababu sio kwamba kikwete ni mtu mbaya hapana ila kwa jamii ya watanzania na mfumo wake ulivo hakustahili kuwa raisi kutokana na haiba yake.
Inawezekana Jaji Augustino akapitishwa na CCM ila kusema kweli ataitaji kuadopt atleast style na haiba ya Prof Muhongo au hata Magufuli ili tuweze kufika huko tunakotaka kufika. Vilevile ataitaji waziri mkuu strong na mwenye maono kama Prof Muhongo ili at least serikali yake ifanye vizuri.
Inawezekana ikawa ni zamu ya Zanzibar saivi kwa sababu ya huu Muungano na kuutuliza upande wa pili( hiki ni chungu cha moto tulichokikubali wenyewe). Ila nasema tena kama nilivosema kwenye post zilizopita huu ni wakati wa kusali sana kwa wale wote wanaoiwazia mema Tanzania ijayo kwa sababu watia nioa ni wengi ila kwa Tanzania nzuri tuitakayo huko mbeleni, nitabaki kuamini kuwa so far sio upinzani na sio chama tawala ni Prof Muhongo tu ndo anayeweza kutuweka kwenye njia hiyo na kutufikisha huko.
...mimi nimekuelewa sana tena sana; kwanza ni kweli TUNAHITAJI KUMUITA MUNGU KWA AJILI YA KUTUPATIA KIONGOZI; pili ni kweli kuwa nchi inahitaji "Kiongozi Mwanajeshi".....lakini pia nadhani kuwa hao viongozi uliowataja pamoja na upole wao nadhani kwa uzoefu wao pia wa nchi hii, watajua wanatakiwa watu wa aina gani (waipeleke nchi kijeshi) ili kuleta maendeleo ya taifa hili....TUMUOMBE MUNGU ATUPE KIONGOZI!
 
Sijui naye kama atakuwa tayari kuweka uasikofu wake pembeni ili aweze kurushiana makombora na wana CCM wenzake kisawasawa,na atakapofikia hatua ya kutakiwa kutoa takrima kama ilivyo kawaida kwa mwana CCM yeyote kufanya hivyo sijui kama napo atakuwa tayari,na bila kufanya hivyo ni bora aanze kufungasha virago vyake mapema tayari kwa kutokea mlango alioingilia.
 
Back
Top Bottom