Kwani hawawezi kutumiwa na aliyewateua?JF sio sehemu ya porojo...Hukumu ya Babu Seya, ilitolewa na jopo la Majaji watatu.
Nathalia Kimaro, Salumu Massati, Mbarouk Mbarouk.
Ndo zawadi aliyo pewa na baba riz kwa kazi nzuri.
Wateule wa huyu mkuu wa nchi ni smart kimaadili? Hawa kina Werema!Kwa hili nitamtetea Jaji Mihayo maana kesi ya Nguza ilisikilizwa na jopo la majaji ila yeye alisoma hukumu kwa niaba yao. Pia ikumbukwe kuwa Jaji Mihayo ni mmoja kati ya majaji smart sana hapa nchini kimaadili na hata kiutendaji kazi na ndio maana mkuu wa nchi akamteua kuwa mwenyekiti wa kitengo cha kusimamia manunuzi ya umma nchini kazi ambayo kama huna moyo wa kupenda mali kiasi huwezi kuifanya maana wote tunajua masupplier wa serikali wanavyotunyonya.
Jamani mwenye uthibitisho na hili tetesi tunaomba afunguke zaidi kwani kwani kila unaeongea nae anakwambia ndio ni kweli,sasa mwenye uhakika na detail za kutosha tunaomba amwage hapa jamvini.
Uteuzi wa huyu mkuu wetu wa kaya usiutumie kama kigezo cha usmart wa mtu kimaadili na kiutendaji. Mara nyingi kama siyo mara zote huwa ni kinyume kabisa kabisa na hivyo unavyofikiria! Vigezo vyake vya uteuzi huwa anavifahamu na kuvibuni mwenyewe.Kwa hili nitamtetea Jaji Mihayo maana kesi ya Nguza ilisikilizwa na jopo la majaji ila yeye alisoma hukumu kwa niaba yao. Pia ikumbukwe kuwa Jaji Mihayo ni mmoja kati ya majaji smart sana hapa nchini kimaadili na hata kiutendaji kazi na ndio maana mkuu wa nchi akamteua kuwa mwenyekiti wa kitengo cha kusimamia manunuzi ya umma nchini kazi ambayo kama huna moyo wa kupenda mali kiasi huwezi kuifanya maana wote tunajua masupplier wa serikali wanavyotunyonya.
Hongereni wana JF
Wakuu sasa vipi kuhusu wale majaji wa rufaa waliokazia hukumu ya babu seya nao walitumiwa?Kwahiyo jaji mihayo nae niwakuogopwa, kwani anatumiwa na.....
Wateule wa huyu mkuu wa nchi ni smart kimaadili? Hawa kina Werema!
Jamani humu jamvini tusiwe wepesi wa kuhukumu kwa hisia Aliyemhukumu Babu Seya na wanawe ni Resident Magistrate incharge kwa wakati huo wa Kisutu Jaji Thomas Bashite Mihayo alisikiliza rufaa ngazi ya mahakama kuu. Kwa mwanasheria makini Seya na wanawe kwa kuzingatia ushahidi uliotolewa mahakamani ni kweli walitenda matendo ya aibu hivyo basi vifungo walivyopewa ni haki yao despite kuna wa/aliyeachiliwa huru na Court of Appeal. Jakaya Mrisho Kikwete has nothing to do with Babu Seya's case. You can prove me wrong with concrete,relevant and credible evidence.Jaji Thomas Mihayo ndiyo aliyemhukumu Babu Seya lakini sio kweli kwamba ndiyo aliyemhukumu Mb. G. Lema.
JF sio sehemu ya porojo...Hukumu ya Babu Seya, ilitolewa na jopo la Majaji watatu.
Nathalia Kimaro, Salumu Massati, Mbarouk Mbarouk.
1.-Umesikia TETESI.
2.UKAZIPIMA.
3.SIJUI ULIVYO ZIONA.
4.Hukufikiri kwa makini.
5.UKAAMUA kuazima UBONGO WA WENZAKO!
-MY TAKE:
1:Nenda MUHIMBILI kapime kipimo cha kitaalamu cha CT SCAN kupima kama una ubongo.
2.WAKIKUTA UPO(Kumbuka hata kuku anao) waambie Dr MJINGA{Ma Dr MUHMBILI wananijua kwa jina hilo) kapime kipimo kingne cha kikubwa zaidi kinacho itwa (MRI) Ili kuchunguza ukubwa na UWEZO WA UBONGO wako na kulinganisha na wa BINADAMU WENGINE!
3.Wakikuta ni wa kawaida ni PM Empty msg halafu nitajua la kufanya!
-Eliahkamwela anakutuhumu kwa ukilaza mkubwa!