Jaji aliyetoa hukumu ya Lema ni nani haswa?

Ni historia nzuri, ungeweka kwenye mtiririko unaofaa with full details nadhani ingevuta hisia za wengi wakachangia Mkuu.

He is not writing wikipedia/encyclopedia of this NASTY JURGE, full details ya nn? Alichosema is enough kumjua, na whoever with more details aongezee hapo, BUT Lema na CDM rufaa ipo wazi na wameshafanya hivyo, masaburi jurge @ work....
 
tafadhali naomba nijuzwe juu ya hili...hivi lema ataruhusiwa kuwa mbunge wa arusha mpaka hukuku ya rufaa yake itapopatiwa jibu la kisheria au tayari hukumu iliyotolewa inatumika mpaka atakapo prove he is innocent kupitia rufaa aliyokata...msaada wenu wataalamu wa sheria.
 
Kwanza alihukumu akiwa na hasira sana kisa Lema kaleta mashahidi wengi wanashangilia..Is that Justice? Wanasema U Can Not Give What U don't Have..
 
Kwakuongeza tu ni kua hata Chama Cha Mapinduzi kimelaani sana kwa Jaji huyu kutoa hukumu hiyo mapema kutokana na hali mbaya ya kiuchumi inachokikabili chama hiki! Watu wa ndani kutoka katika ya chama hiki wamedai Jaji huyu alikurupuka kutoa hukumu hiyo mapema! Souce ndani ya chama cha CCM.
 
tafadhali naomba nijuzwe juu ya hili...hivi lema ataruhusiwa kuwa mbunge wa arusha mpaka hukuku ya rufaa yake itapopatiwa jibu la kisheria au tayari hukumu iliyotolewa inatumika mpaka atakapo prove he is innocent kupitia rufaa aliyokata...msaada wenu wataalamu wa sheria.


Lema is not guilty meaning he is innocent... What proof...??? This is all about political prostitution going around....!!! Bribed nasty jurge....!!!
 
Mungi, I real agree with your comment. The presenter need not to give full details - he might not be a lawyer - what he has done is enough for some other thinkers to give their views. What I can just say, this Judge is not smart in real terms. He is just against those who think Tofauti na CCM -- basi!!. Na very unfortunate CCM ndo waliomweka hapo. Badala ya kufanya kazi for real ana angalia ni kipi kitawafuarahisha CCM. HAFAI.

Hata hivyo tungojee rufaa.
 
Ametumia kodi za watanzania vibaya kwa kubaka haki ya watu wa arusha siku ya mwisho Mungu atatoa hukumu ya haki
 
He is not writing wikipedia/encyclopedia of this NASTY JURGE, full details ya nn? Alichosema is enough kumjua, na whoever with more details aongezee hapo, BUT Lema na CDM rufaa ipo wazi na wameshafanya hivyo, masaburi jurge @ work....

Sizungumzii details za Encyclopedia, japo heading inasema JUA HISTORIA YA JAJI ALIYEHUKUMU KESI YA LEMA, bali nazungumzia details zinazohusu kesi, kwamba Lamwai alihukumiwa kwa kesi gani na lini, alihukumiwa akiwa na title gani, akaondolewa advocacy for which purposes. nasema hivyo kwasababu wengine hawajui, sasa anapoweka details kidogo inasaidia wengine kufahamu na kufanya comparison na hukumu ya Lema.
Anyway thanks for this very useful post
 
ungefanya kautafiti kadogo kuongeza nyama kwenye kazi yako ingebeba maana lakini hapa ni kama unapingana na sheria iliyozaa hukumu kwamba Jaji hakupaswa kuwahukumu uliowataja bila kuanisha vipengere vya sheria vilivyokiukwa.
Mama Rwakatare upo bungeni na JF pia??
 
Majaji kama hawa ndiyo maadui wa haki!!! Wao wapo hapo kutenda haki lakini badala yake wa..@#&*$*# haki. Haiwezekani jaji akawa na trend ya mbaya na kesi za upinzani tu!! Something is definetely wrong. Kama kweli yeye ni design hiyo wampe kesi za EPA tuone hayo makali yake.

Pamoja na kwamba mimi si mwanasheria, kwa kutumia logic tu naweza kuona maamuzi mabovu yaliyofanywa na jaji. Makosa aliyokuwa convicted na sheria iliyotumika kufikia huo uamuzi haziendani!!!

Hivi chuo alichosomea hakiwezi kumvua shahada kwa kukidharirisha?? Maana nasikia hakuna mtu mwenye uwezo wa kumfukuza jaji nchini mpaka wapitie through judicial process in the UK!!
 
Kwamba jaji alitoa hukumu kwa kutishwa hilo sina ushahidi nalo.Hoja ninayotaka kutoa ni kuwa jaji amapaswa kuktoa hukumu kutokana na ushahidi uliowasilishwa mahakamani.
Labda niwaulize ndugu zangu,sheria ya uchaguzi inazungumziaje mwenendo wa kampeni(maadili na miko ) AMABO HUWA YANARIDHIWA NA VYAMA VYOTE.
Je hakuna hata mwiko mmoja ambao LEMA aliufanya? Kwa sababu hata kakosa kakiwa kamoja na kenyewe kakikwenda kinyume na sheria ya chaguzi hivi unategemea jaji afanyaje.
Nimalizie kwa jaji kutishwa.Nakumbuka nchi Uganda miaka ya 70 Jaji mkuu Kiwanuka alikuwa anasikiliza kesi ya mwingereza mmoja akiitwa hill.
Muda mfupi kabla hajatoa hukumu Kiwanuka alipigiwa simu na nduli Iddi Amin akimtaka jaji atoe adhabu ya kifo kwa Hill.
Kwa vile Kiwanuka hakuona ushahidi wo wote wa kumhukumu kifo kama rais wake alivyotaka Kiwanuka alimwachia huru mwingereza yule.
 
Back
Top Bottom