Jaji Aliyemhukumu Nguza, Hakana Tuhuma

Hivi wale 2 waliotoka wamelipwa fidia yoyote kwa kipindi walichokaa jela bila hatia au hamnaga kitu kama hicho..
 
Jamani haya mambo ya sheria hayaaminiki ona kule marekani saa moja usiku saa za kule watampiga sindano ya sumu Troy Davis mwafrika mwenzetu ambaye kesi yake ya kuua ni utata mtupu lakini jamaa wameshikilia kuwa lazima ikifika saa moja usiku saa za kule lazima jamaa afe.
 
Back
Top Bottom