Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
:twitch::clap2::clap2::clap2::coffee:
Bibie mbona sijakupata hapo, umefurahia mbeijing mwenzako kuachwa ama inakuwaje?
:twitch::clap2::clap2::clap2::coffee:
I WANT TO BE FREE
:roll:
Nani kakutia kifungoni tena??
Pole shostito, nadhani mhusika amekusikia na ataku-release the soonest!!
new advertisement technics za kuwanasa wengine
yeye si ndio katangazahayo mambo yao bnafsi mbona watu wanaachana kila cku na akuna matangazo wala nn
vipi tena michelle:twitch::clap2::clap2::clap2::coffee:
hahahah lol
mie namwongelea huyo alieacha lol
:twitch::clap2::clap2::clap2::coffee:
kwahiyo hapa ulizungumza kama vile wewe ndo jaffarai, nimekupata.
Ila sasa nimeshindwa kukusoma vizuri, aliyeacha ni "he" na wewe seems like "she", how come unapresent "he"? au ni mambo ya joti tu!!
sucks them all opposed this thread
mlitaka celebrities tukawazungumzie wapi sasa....
Mkuu haya mambo ya ajabu sana mtu na akili zake anaclick mwenyewe jukwaa la habari za maceleb kisha anaanza kuponda as if hili ni jukwaa la siasa wakati kichwa cha habari cha jukwaa kinasema habari za maceleb wetu tuzipost humu.
Duniani kote ni hulka ya watu kutaka kujua celeb kafanya nini iwe ni internal au external affairs.
Kama wewe unataka habari za "muhimu" tu hushauriwi kutembelea jukwaa hili,mambo ya kikubwa,jokes
Sasa sisi tufenyeje?