Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Watasema sanaaaaa, usiku watalala, kama anampenda najua anampenda sana ha haaaaaa. Kwishaaaaaaaaa. Sugu kiboko na watakoma mwaka huu.
 
Nadhani sasa clouds watapata visngizio kwenye persona issues.
 
Leo Jaffaray yuko live kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds fm akisema kaachana na Shyrose Banji ni kutokana na kugundua kuwa amecheat na ana Uhusiano na Hon. JOSEPH MBILINYI.

Duuh, haya bana siye yetu masikio.
 
Umesikiliza Clouds FM, wazee wa mawingu yanayokwenda na upepo!
UDAKU HUU 100%
 
Hizo ni habari za UDAKU zipeleke sehemu husika,
lakini pia hayo ni maisha ya mtu binafsi so kama anatoka amahatoki nae hayatuhusu,tunachohitaji ni yeye kuwawakilisha wapigakula wake pasipo kutekwa na fikra za woga

msema ukweliiii hapendwiiii daimaaaaa:clap2:
 
nani kasema shyrose demu wake??...mbona mpira wa kona huo.... na jaffarai mie navyofahamu "Ameolewa na shyrose"....sasa inakuwaje aseme kachapiwa mke wake?...abadili statement yake haraka sana
 
Hili liJaffarai JINGA kwel,hakyanani unaweza kukuta ye ndo kaachwa,maana linavyoipublicize hii ishu..duh.!!..mara facebuk,mara radion..yan anataka mambo yao binafsi ayatangaze..
 
kwenye facebook page ya jaffarai inasema:
NIMEAMUA
KUACHANA NA ALIEKUA MPENZI
WANGU KWA TAKRIBAN MIAKA
8 SHYROSE BHANJI..

Ni kweli kaachana na mama sijui bibi Shyrose kwa sababu SUGU mbunge aliyetumwa na wananchi wa mbeya katembea na Shyrose!!!!!!!!!!What a shame??!!!!!!
 
Naona hii picha inampa Jaffaray usongo!!!!

167569_190172921001653_100000268407034_640986_6062155_n.jpg
 
Mwe!
Kama ni kweli basi huyo Jamaa ana akili finyu kweli..
Yaani dume unaibiwa mke unaanza kuvuta midomo na kuwatangaza watu?
Ingekuwa ni mimi nisingezungumzia kabisa kuhusu hilo suala....
njemba ikininyang'anya demu basi nitaiheshimu sana, nitajua kweli imenizidi viwango (God forbid)...
Dah
Kweli tunatofautiana....
 
mdada anapenda wakufokafoka......akimaliza hapo anahamia kwa dudu baya? au chidi ? au Diamond?
 
Sioni mantiki ya post yako,nini maana ya kuchanwa?Kitendo cha Jaffarai kusema kuwa hana uhusiano na Shyrose na anahisi anachukuliwa na Mh.J Mbilinyi ndio kuchana kwenyewe?
 
mdada anapenda wakufokafoka......akimaliza hapo anahamia kwa dudu baya? au chidi ? au Diamond?

Au Dogo Janja....kibaka kaiba mkoba ndani kakuta ratiba ya msiba.

Any way Clouds wameamua kujibu mapigo ya anti virus kwa kumchana Sugu live. Rais mwenyewe anacheat itakuwa mbunge SUGU? Go Sugu go. Next time chukua mke wa Kibonde.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom