Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,856
- 371
Waziri Mkuu msataafu leo kupitia tbc-habari saa 2 uck, amekiri kuwa mchango wa vyama vya siasa vya upinzani umekuwa wa muhimu sana kwa ustawi wa taifa. Sambamba na hilo amekiasa ccm kwenda na wakati ili kukabiliana na nguvu za vyama pinzani. amehofu ccm isionekane kuwa haina sera mpya wakati huu na hatimaye kupoteza umaarufu mbele ya wananchi.