ni chuo cha kiislamuhata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?lindi, mtwara,pwani, tanga na morogoro why?
ni chuo cha kiislamuhata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?lindi, mtwara,pwani, tanga na morogoro why?
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
Kimantiki, ninayosema hapa ndiyo aliyosema JK. Sasa kama unaniona mimi mnafiki, unataka kusema so is JK!Ni kweli uko concern sana ? Au unafiki !?
Simshauri mtu akasome pale, awe muisilamu au mkristu. Chagua chuo bora, halafu tafuta kozi fupi fupi za kidini kama unataka. Hivi kwa mazingira yetu, iweje mtu upoteze muda wa miaka mitatu kusoma B.A with Islamic Studies? Au unataka kuwa imamu forever?
Hili kama linafanyika ni kosa, kwa sababu kimsingi hakuna kulazimishana katika dini na ibada haiendi kwa shuruti ila kwa nasaha kwani ikifanywa kwa shuruti inakuwa ni ya machoni ambayo haina msaada wowote kwa aifanyayo.Pamoja na kwamba kile chuo ni cha dini, lakini inabidi wapunguze misimamo yao. Mi namfahamu Prof mmoja alilazimika kuacha kazi pale baada ya kuhoji juu ya wanafunzi na walimu kulazimishwa kuvaa hijabu (wanawake), regardless kama waislamu au sio, na kulazimishwa kushiriki katika swala zote za waislamu...
Hili kama linafanyika ni kosa, kwa sababu kimsingi hakuna kulazimishana katika dini na ibada haiendi kwa shuruti ila kwa nasaha kwani ikifanywa kwa shuruti inakuwa ni ya machoni ambayo haina msaada wowote kwa aifanyayo. Na vile vile ieleweke kuwa kwa mujibu wa Qur'an, ujumbe unaweza kuwa ima ni kwa Watu, waislam au waumini. Hayani makundi matatu tofauti. Kama watu wa MUM wapo humu, tunawaomba hili waliondoe haliko katika mafundisho ya uislam.
Wakati wao wanafikiria kujitanua mikoa ya Pwani the Holy Church ilishaweka chuo siku nyingi mno Mtwara..
kaka dont beat around the bush...si ufunguke tuu ni ''MFUMO KRISTU" kwa mujibu wa radio iman na waislamu wengi period.
Suala sio kuwa nyuma dada, kuna kitu nyuma yake zaidi hilo!
​Lakini ni wazo zuri.
We mbwa !
Jiwe ni jiwe tu na jiwe haliwezi kufanya mbingu na ardhi !
Labda sanamu yako !
Is religious god given parasite?
ni vema umetambua kuwa jiwe haliwezi kuumba mbingu na ardhi na kwa kuwa allah ndiye jiwe la kaaba ambalo huwa unalifuramia mara tano kwa siku basi hawezi kuumba chochote .
Vyuo vyetu tunasoma sis wenyewe peke yetu tena kwa iman kali, Vyuo vyao tunasoma wote tena iman huru na kuheshimiana.
(GT- Igeuze sentens)
Vip kuhusu hilo, Mzee hajashaur chochote huko..?